Imewekwa: June 3rd, 2024
Mkuu wa wilaya ya Sikonge Mhe. Cornel Magembe ameongoza zoezi la uzinduzi wa utoaji wa matone ya vitamin A kwa watoto wenye umri chini ya miaka mitano katika hospitali ya Sikonge Misheni ikiwa ni maad...
Imewekwa: May 28th, 2024
Mkuu wa Wilaya ya Sikonge Mhe. Cornel Lucas Magembe ameongoza kamati ya usalama kukagua miradi itakayopitiwa na mbio za Mwenge wa Uhuru 2024.
Katika ziara hiyo kamati ya Usalama imekagua mradi wa u...
Imewekwa: May 24th, 2024
Mkuu wa Wilaya ya Sikonge Mhe. Cornel Lucas Magembe ameongoza hafla fupi ya kukabidhi madawati mapya 56 kwa shule ya msingi Majengo yaliyotengenezwa kwa fedha toka mfuko wa jimbo.
Akisoma taarifa y...