Imewekwa: October 3rd, 2025
Na, Anastazia Maguha
Wananchi zaidi ya 400 wilayani Sikonge wamenufaika kwa matibabu mbalimbali ya kibingwa kupitia programu ya Madaktari Bingwa wa Rais Dkt.Samia, ...
Imewekwa: September 22nd, 2025
Na Linah Rwambali
Zaidi ya Shilingi Milioni mia tano zimetolewa na serikali kwaajili ya kuanzisha kidato cha tano na sita katika shule ya Sekondari Sikonge ikiwa ni juhudi za serikali kati...
Imewekwa: September 3rd, 2025
Na Edigar Nkilabo – SikongeDC
Halmashauri ya Wilaya ya Sikonge imewapatia Watendaji 10 wa Vijiji pikipiki za mkopo usiokuwa na riba kwa lengo la kuwawezesha kufika kwa wakat...