• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za wafanyakazi |
Sikonge District Council
Sikonge District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Sikonge

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
      • Chimbuko/Asili
      • Ukubwa wa Eneo
      • Idadi ya Watu
      • Hali ya Hewa
      • Shughuli za kiuchumi
      • Orodha ya Viongozi
    • Dhamira na Dira
    • Mikakati
    • Maadili ya Msingi
  • Utawala
    • Muundo wa Tasisi
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali watu
      • Mipango,Takwimu na Ufuatiliaji
      • Elimu ya msingi
      • Elimu ya sekondari
      • Mifugo na uvuvi
      • Afya na Ustawi wa jamii
      • Maji
      • Ujenzi
      • Ardhi na Maliasili
      • Maendeleo ya Jamii
      • Fedha na Biashara
      • Mazingira na Taka ngumu
      • Kilimo, Umwagilaji na Ushirika
    • Vitengo
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Ukaguzi wa ndani
      • Manunuzi na Ugavi
      • Uchaguzi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Uchimbaji wa Madini
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma zetu
    • Elimu
    • Afya
    • Maji
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Fedha, Uongozi na Mipango
      • Elimu, Afya na Maji
      • Uchumi, Ujenzi na Mazingira
      • Kudhibiti UKIMWI
      • Maadili
    • Ratiba
      • Vikao vya Kisheria vya Halmashauri
      • Kuonana na Mwenyekiti wa Halmashauri
  • Miradi
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi Itakayotekelezwa
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo Ndogo
    • Miongozo Mbalimbali
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu Mbalimbali
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
  • Kituo cha Habari
    • Maktaba ya sanaa
      • Sanaa za picha
    • Taarifa kwa umma
    • Hotuba
    • Habari mpya
    • Matukio

Maji

JINA LA MKUU WA IDARA

NAMBA YA SIMU YA MKUU WA IDARA

BARUA PEPE YA IDARA ,ANUANU, NUKUSHI , SIMU YA MEZANI

Paschal .J. Ngunda
0784 664 773 / 0759 840 768
dwe@sikongedc.go.tz





IDADI YA WATUMISHI 

Na
Waliopo
Idadi
Mahitaji
Upungufu
1
Mhandisi

2

3

1

2
Fundi sanifu

5

7

2

3
Fundi sanifu msaidizi

6

9

3

4
Dereva

1



5
Msaidizi wa kumbukumbu

1



6
Katibu muhutasi

1

1

7
Msaidizi wa ofisi

1

1

MAJUKUMU YA IDARA /KITENGO

  • Kusaidia jamii katika kubuni , kujenga na kusimamia uendeshaji wa miradi ya maji.(w)
  • Kusanifu miradi ya maji (w)
  • Kusimamia ujenzi wa miradi ya maji .( w )
  • Kusimamia uendeshaji na matengenezo  (w) 
  • Kuratibu huduma za utowaji wa maji  (w)

TAKWIMU MUHIMU ZA IDARA /KITENGO

VISIMA VIFUPI
VISIMA VIREFU
MABWAWA
CHEMCHEM
SKIMU ZA MAJI

183

30

5

8

5

FURSA ZILIZOPO KATIKA IDARA / KITENGO

  • Mabonde ya umwagiliaji.
  • Mito ya msimu 6

 

 

 

 

MAFANIKIO YA IDARA /KITENGO

  • Kupanuka kwa huduma ya maji kutoka chini ya asilimia tano ( 5%) mwaka 2005  mpaka 39% 2017 .
  • Kuongezeka kwa  idadi ya watumishi kwa idara ya maji kutoka sita mwaka 2005 mpaka 15   mwaka 2017
  • Kupandisha hadhi ya watumishi
  •  Hapakuwa na mhandisi  hata mmoja mwaka 2005 sasa kuna wahandisi wawili
  • Hapakuwa na fundisanifu mkuu hata mmoja  mwaka 2005 sasa kuna fundisanifu mkuu mmoja.
  • Hapakuwa na fundisanifu umeme  hata mmoja mwaka 2005 sasa kuna fundisanifu umeme  mmoja.
  • Watumishi waliosomeshwa na Halmashauri ni 4.
  •  

CHANGAMOTO

  • Ugumu wa upatikanaji wa maji ya chini ya ardhi kutokana na jiologia tata.
  • Upungufu wa watumishi .
  • Eneo kubwa mno la wilaya ambalo hupelekea kuwapo na ugumu wa usimamizi na uendeshaji wa miradi ya maji.
  • Kutokuwepo kwa nishati ya umeme katika miradi ya maji.

 

UFUMBUZI

  • Kutumia mito ya msimu  iliyopo kwa kujenga mabwawa na kujengwa mradi wa maji kutoka Ziwa Viktoria.
  • Kuongeza ajira ya watumishi ili kuziba mapungufu yaliyopo.
  • Kukagawa Wilaya katika maeno mawili ya kiutawala.
  • Kupeleka umeme wa REA katika miradi ya maji na  au kutumia nishati ya jua.

 

MATARAJIO

  • Kujenga mradi wa kusambaza maji kutoka  bwawa la Igumila katika kata ya kitunda na Kiloli.
  • Kuendelea kutoa mafunzo kwa vyombo vya watumia maji .
  • Kujenga mradi wa maji wa Ziwa Victoria.
  • Kuwa ajiri  watumishi kujaza nafasi zilizowazi.

 

Matangazo

  • TANGAZO LA ZABUNI YA KUKODISHA CANTEEN [MGAHAWA] MPYA KWENYE JENGO LA MAKAO MAKUU YA HALMASHAURI June 07, 2023
  • ZAABUNI YA KUMPATA MWEKEZAJI KATIKA KIWANDA CHA KATI CHA KUCHAKATA MAZAO YA NYUKI(MARUDIO) June 07, 2023
  • ZABUNI YA KUTOA HUDUMA YA USAFI KWENYE OFISI ZA HALMASHAURI June 07, 2023
  • ZABUNI YA KUTOA HUDUMA YA ULINZI June 07, 2023
  • Angalia zaidi

Habari Mpya

  • KAMATI YA ULINZI NA USALAMA YA WILAYA YA SIKONGE YAKAGUA MIRADI YA MAENDELEO INAYOPENDEKEZWA KUPITIWA NA MWENGE WA UHURU 2025

    May 13, 2025
  • UZINDUZI WA SHULE YA MSINGI KININGA - KATA YA IPOLE

    May 09, 2025
  • MJUMBE WA TUME HURU YA TAIFA YA UCHAGUZI ATEMBELEA VITUO VYA UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA WILAYANI SIKONGE

    May 07, 2025
  • KIKAO CHA TATHIMINI YA MKATABA WA LISHE WILAYANI SIKONGE

    April 29, 2025
  • Angalia zaidi

Video

Ziara ya Waheshimiwa Madiwani Wilayani Rungwe - Mbeya.
Video zaidi

Kurasa za haraka

  • Zabuni
  • Matukio
  • Matangazo
  • Habari

Tovuti Mashuhuri

  • Ofisi ya Taifa ya Takwimu
  • Mkoa wa Tabora
  • TAMISEMI
  • Urambo DC
  • UTUMISHI
  • Kaliua DC

Watembeleaji wa Kimataifa

world map hits counter

Waliotembelea

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Mkurugenzi Mtendaji Sikonge DC

    Anuani ya Posta: S.L.P 70 Sikonge, Tabora

    Simu: 0767135460

    Simu: 0767135460

    Barua pepe: ded@sikongedc.go.tz

Mawasiliano zaidi

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani ya tovuti
    • Huduma zetu

Hatimiliki ©2017Halmashauri ya Wilaya ya Sikonge, Haki zote zimehifadhiwa