Imewekwa: December 22nd, 2024
HALMASHAURI ya Wilaya ya Sikonge, mkoani Tabora imegawa zaidi ya miti 1000 kwa shule za msingi zilizopo Wilayani hapo, ili kuboresha upatikanaji wa matunda na lishe kwa wanafunzi.
...
Imewekwa: December 21st, 2024
Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum, Mhe. Dkt. Dorothy Gwajima, ameipongeza Wilaya ya Sikonge kwa usimamizi mzuri wa miradi ya maendeleo. Pongezi hizo amezitoa leo alipoku...
Imewekwa: December 18th, 2024
Na. Robert Magaka – Sikonge.
Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Tabora, Ndg. Said Juma Nkumba, ameiongoza Kamati ya Siasa ya Mkoa katika ziara ya kukagua utekelezaji wa ilani ya CCM (2...