Imewekwa: June 26th, 2024
Wataalam wa afya ngazi ya wilaya wametembelea zahanati ya kijiji cha Igalula,kata ya Sikonge kufuatilia utekelezaji wa kampeni ya utoaji wa matone ya vitamin A pamoja na upimaji wa hali ya lishe kwa w...
Imewekwa: June 5th, 2024
Katibu Tawala wa mkoa wa Tabora Dkt. John Mboya amefanya ziara ya kawaida wilayani Sikonge kukagua miradi ya maendeleo inayotekelezwa katika mwaka wa fedha 2023/2024.
Katika ziara hiyo Dkt. Mboya a...
Imewekwa: June 3rd, 2024
Mkuu wa wilaya ya Sikonge Mhe. Cornel Magembe ameongoza zoezi la uzinduzi wa utoaji wa matone ya vitamin A kwa watoto wenye umri chini ya miaka mitano katika hospitali ya Sikonge Misheni ikiwa ni maad...