Imewekwa: May 10th, 2019
KAFUM YAIKAGUA KAMAGI
KAMATI ya Fedha, Uongozi na Mipango (KAFUM) ilitembelea shule ya Sekondari Kamagi ili kujionea namna mradi wa ujenzi wa vyumba vya madarasa, bwalo la chakula pamoja na bweni l...
Imewekwa: May 9th, 2019
SERIKALI YAWAJALI WALIMU
Kata ya Usunga iliyopo Wilayani Sikonge ni miongoni mwa kata zilizofaidika na miradi ya TEA ambapo katika shule ya Sekondari Usunga wamejengewa nyumba bora ya waalimu ijuli...
Imewekwa: May 2nd, 2019
RAS AKAGUA HOSPITALI YA SIKONGE
KATIBU tawala wa Mkoa wa Tabora Msalika Makungu atembelea ujenzi wa Hospitali ya Wilaya ya Sikonge ili kujiridhisha namna ujenzi unavyofanyika.
Akiwa katika jengo...