Imewekwa: July 29th, 2024
Mkuu wa Wilaya ya Sikonge,Mhe. Cornel Lucas Magembe ameongoza kikao cha tathmini ya utekelezaji wa mkataba wa lishe ngazi ya kata na wilaya katika ukumbi wa mikutano wa halmashauri ya wilaya ya Sikong...
Imewekwa: July 17th, 2024
Tume huru ya taifa ya uchaguzi imeendesha mafunzo ya uboreshaji wa daftari la kudumu la wapiga Kura wilayani Sikonge kwa maafisa waandikishaji wasaidizi na maafisa waendeshaji wa vifaa vya Bayometriki...
Imewekwa: July 11th, 2024
Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Umoja wa Wanawake wa Tanzania (UWT), Bi. Suzan Peter Kunambi ametembelea wilaya ya Sikonge akiambatana na wajumbe wa kamati tendaji katika kutekeleza shughuli mbalimbali za C...