IDARA YA KILIMO, UMWAGILIAJI NA USHIRIKA
1. UTANGULIZI
Iv :Idadiyawatumshi
WALIOPO
|
MAHITAJI
|
UPUNGUFU
|
86
|
108
|
22
|
2. Majukumuyaidara
3. TAKWIMU MUHIMU ZA IDARA
Hali yahewakwaujumlaniyakitropikinahupatamvuakwamsimummojakwakiwango cha wastaniwa mm 650-750.Kiwango cha jotonikatiya 220C-320Cnakiwangokikubwa cha jotohuwakatiyamweziAugosthadiOctobakamblayamvuakuanzakunyesha. Hali yaudogokatikamaeneomenginikichanganaundogowatfitifunamfinyazihupatiakankatikabaadhiyamaeneo.
Wilayainajumlayakilomitazamraba1,404.65 sawanahekta 140,465 zinazofaakwakilimoambaponihekta 70,919 ndizozinazolimwakwasasa.MazaomakuuyachakulaniMahindi,Mpunga,ViazivitamunamhogonamazaomakuuyabiasharaniTumbaku,Karanga,Alizetinakwasasazao la Korosholipokatikahatuazaawalizauzalishwaji.Wilayainaidadiya kaya 29,980, ambapokatiyahizo, kaya zawakulimani 21,800 zikiwanawakulimazaidiya 65,000.Uzalishajitijakwamazaoyachakulabadonimdogokamainavyooneknakwenyejedwalihapachini.
ZAO
|
Mahindi
|
Mpunga
|
Viazivitamu
|
Mhogo
|
Tumbaku
|
Karanga
|
Alizeti
|
UzalishajiTija (Tani/ha)
|
0.8-1.5
|
2-5
|
2-5
|
1.5- 4
|
1-1.6
|
0.9 -1.4
|
0.5 -1
|
SektayaUshirika
Halmashauriyawilayaya Sikonge inavyamavyaushirikavilivyoandikishwavipatavyo 82 navyovipokatikamakundi 5 kana inayonekanakatikajedwalihapachini.
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
Miradiyakilimoiliyopo
Idara pia inasimamiamiradimbalimbaliyakilimochiniyampangowakuedelezasektayakilimowilayani DADPS, ambapomiradihiyoimekuwaikiwanufainshawananchi.Jedwalilifuatalolinaoneshabaadhiyamiradihiyoambayoimekuwaikitekelezwatangu 1998 chiniya program za DADPs,/ASDP/PADEP
Ainayamradi
|
Idadi
|
Mahaliulipo
|
Umwagiliaji
|
2
|
TumbilinaKisanga
|
Maghala
|
10
|
Kisanga,Lufwisi,Tumbili,Usesula,Usanganya,Lembeli,Kan-yamsenga,Pangale,Ukandamoyo,Urafiki
|
Mashinezakusindikaza la mpunga
|
3
|
KisangaLufwisinaTumbili
|
Mashinezakusondikamazoyamafuta
|
4
|
Ukandamoyo,Majojoro,KiyombonaMgambo
|
4. FURSA ZILIZOPO
5. MAFANIKIO YA IARADARA
6. CHANGAMOTO
7.UFUMBUZI
8. MATARAJIO
Mkurugenzi Mtendaji Sikonge DC
Anuani ya Posta: S.L.P 70 Sikonge, Tabora
Simu: 0767135460
Simu: 0767135460
Barua pepe: ded@sikongedc.go.tz
Hatimiliki ©2017Halmashauri ya Wilaya ya Sikonge, Haki zote zimehifadhiwa