• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za wafanyakazi |
Sikonge District Council
Sikonge District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Sikonge

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
      • Chimbuko/Asili
      • Ukubwa wa Eneo
      • Idadi ya Watu
      • Hali ya Hewa
      • Shughuli za kiuchumi
      • Orodha ya Viongozi
    • Dhamira na Dira
    • Mikakati
    • Maadili ya Msingi
  • Utawala
    • Muundo wa Tasisi
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali watu
      • Mipango,Takwimu na Ufuatiliaji
      • Elimu ya msingi
      • Elimu ya sekondari
      • Mifugo na uvuvi
      • Afya na Ustawi wa jamii
      • Maji
      • Ujenzi
      • Ardhi na Maliasili
      • Maendeleo ya Jamii
      • Fedha na Biashara
      • Mazingira na Taka ngumu
      • Kilimo, Umwagilaji na Ushirika
    • Vitengo
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Ukaguzi wa ndani
      • Manunuzi na Ugavi
      • Uchaguzi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Uchimbaji wa Madini
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma zetu
    • Elimu
    • Afya
    • Maji
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Fedha, Uongozi na Mipango
      • Elimu, Afya na Maji
      • Uchumi, Ujenzi na Mazingira
      • Kudhibiti UKIMWI
      • Maadili
    • Ratiba
      • Vikao vya Kisheria vya Halmashauri
      • Kuonana na Mwenyekiti wa Halmashauri
  • Miradi
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi Itakayotekelezwa
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo Ndogo
    • Miongozo Mbalimbali
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu Mbalimbali
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
  • Kituo cha Habari
    • Maktaba ya sanaa
      • Sanaa za picha
    • Taarifa kwa umma
    • Hotuba
    • Habari mpya
    • Matukio

Mifugo na uvuvi

1.UTANGULIZI

  • Jina la Mkuu wa Idara – Mipawa E. Majebele.
  • Namba ya simu - 0786 368 855 / 0767 368 856
  • Barua pepe ya Idara- dlfo@sikongedc.go.tz , kilimosikonge@yahoo.com
  • Idadi ya watumishi
WALIOPO
MAHITAJI
UPUNGUFU
34
102
68

2.Majukumu ya Idara

  • kufanaya matibabu na kuzuia magonjwa
  • kusimamia uchinjaji na ukaguzi wa nyama na ngozi
  • kusimamia  miradi ya maendeleo ya mifugo na Uvuvi
  • kusimamia  shughuli za minada
  • kutoa vibali vya usafirishaji mifugo pamoja  na leseni na viabali vya  Uvuvi
  • kutoa huduma za ugani za mifugo na Uvuvi

3.Takwimu muhimu za idara

  • Aina ya mifugo/Idadi
Aina
Idadi
Ng’ombe
353,502
Mbuzi
123,661
Kondoo
19,081
Punda
613
Kuku
515,493
Ducks
11,101
Pigs
3,290
Jumla
  1,026,741

ii) Miundombinu

Type
Number
Majosho
15
Minada
5
Banda la ngozi
1
Machinjio
1
Makaro
3
Madukayadawa
23
Mabwawayasamaki
3

 

4. Fursa zilizopo katika Idara

  • Tuna ngozi za kutosha hivyo wawekezaji wanaweza kuwekeza kwa kujenga kiwanda cha ngozi
  • Nyama inapatikana kwasababu ya ng`ombe wengi wa asili ambao ndo chanzo kikuu cha nyama
  • Maziwa yapo wawekezaji wanaweza kujenga vituo vya kukusanyia maziwa na kujenga kiwanda cha kuchakata maziwa
  • kuwepo kwa mito mitatu(koga,walla na Ugala) ambayo ni ya msimu  na ndivyo  vyanzo vikuu vya samaki  hivyo fursa ipo kwa ajili ya kuwekeza ili kujenga mabwawa ya samaki (aquafarms) ili kuongeza uzalisahji wa samaki
  • kuwepo kwa kituo kidogo cha uzalishaji wa vifaranga vya samaki
  • 5.Mafanikio ya Idara
  • Imefanikiwa kukusanya mapato makubwa kutokana na sekta ya mifugo na uvuvi
  • kuboreka kwa huduma ya Kuzuia na kutibu ya magonjwa
  • kuwepo kwa vikundi vya uvuvi vinavyo tambulika ili kuzuia uvuvi haramu.
  • kuongezeka kwa upatikikanaji wa samaki kutokana na elimu iliyotolewa dhidi ya athari ya uvuvi haramu na kuhamasisha ufugaji wa samaki.
  • kuongezeka kwa wafugaji wa kuku wa kisasa kutokana na elimu iliyotolewa kwa wafugaji
  • 6. Changamoto za Idara
  • Upungufu wa watumishi haswa ngazi ya vijiji kwa  sekta ya mifugo na uvuvi
  • Upungufu wa vitendea kazi na miundo mbinu kama majosho,malambo, makaro ya kuchinjia,minada na mabwawa ya samaki.
  • Upungufu wa Vyombo vya usafiri
  • Ukosefu wa maeneo ya kuchungia
  • 7.Ufumbuzi
  • Tunaendelea kuomba kuongezewa kwa idadi ya watumishi kupitia bajeti.
  • Tumeweka bajeti kwa ajili ya kujenga na kuboresha miundombinu ya mifugo na uvuvi pamoja na kununua vyombo vya usafiri.
  • kufanya doria ya mara kwa mara kwa sekta ya uvuvi.
  • 8.Matarajio
  • Idara inajipanga kuwa  idara ya mfano na yenye mafanikio katika:-
  • Kupunguza migogoro ya wakulima na wafugaji kwa kuwatengea maeneo ya malisho.
  •  Kutoa huduma stahiki za ugani katika  ngazi zote za vijiji kwa kuongeza watumishi ili kuongeza uzalishaji na kuboresha maisha ya wafugaji wetu.
  • Kubuni na kuongeza vyanzo vingi vya mapato ili kuongeza huduma kwa wananchi.
  • Kuhamasisha wafugaji kutumia mifugo iliyoboreshwa ili kuongeza uzalishaji
  • Kutoa elimu kwa wananchi na wavuvi  kiujumla katika swala zima la ufugaji samaki [aqua farm] ili kupunguza shinikizo la uvuvi [fishing pressure ] katika mito ya misimu na mabwawa.
  • Kupambambana na uvuvi haramu kwa kufanya doria za mara kwa mara kama sera inavyotuagiza ili kuboreshsa uzalishaji na kusambaza mazao ya samaki katika viwanda vidogovidogo.

Matangazo

  • TANGAZO LA ZABUNI YA KUKODISHA CANTEEN [MGAHAWA] MPYA KWENYE JENGO LA MAKAO MAKUU YA HALMASHAURI June 07, 2023
  • ZAABUNI YA KUMPATA MWEKEZAJI KATIKA KIWANDA CHA KATI CHA KUCHAKATA MAZAO YA NYUKI(MARUDIO) June 07, 2023
  • ZABUNI YA KUTOA HUDUMA YA USAFI KWENYE OFISI ZA HALMASHAURI June 07, 2023
  • ZABUNI YA KUTOA HUDUMA YA ULINZI June 07, 2023
  • Angalia zaidi

Habari Mpya

  • KAMATI YA ULINZI NA USALAMA YA WILAYA YA SIKONGE YAKAGUA MIRADI YA MAENDELEO INAYOPENDEKEZWA KUPITIWA NA MWENGE WA UHURU 2025

    May 13, 2025
  • UZINDUZI WA SHULE YA MSINGI KININGA - KATA YA IPOLE

    May 09, 2025
  • MJUMBE WA TUME HURU YA TAIFA YA UCHAGUZI ATEMBELEA VITUO VYA UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA WILAYANI SIKONGE

    May 07, 2025
  • KIKAO CHA TATHIMINI YA MKATABA WA LISHE WILAYANI SIKONGE

    April 29, 2025
  • Angalia zaidi

Video

Ziara ya Waheshimiwa Madiwani Wilayani Rungwe - Mbeya.
Video zaidi

Kurasa za haraka

  • Zabuni
  • Matukio
  • Matangazo
  • Habari

Tovuti Mashuhuri

  • Ofisi ya Taifa ya Takwimu
  • Mkoa wa Tabora
  • TAMISEMI
  • Urambo DC
  • UTUMISHI
  • Kaliua DC

Watembeleaji wa Kimataifa

world map hits counter

Waliotembelea

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Mkurugenzi Mtendaji Sikonge DC

    Anuani ya Posta: S.L.P 70 Sikonge, Tabora

    Simu: 0767135460

    Simu: 0767135460

    Barua pepe: ded@sikongedc.go.tz

Mawasiliano zaidi

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani ya tovuti
    • Huduma zetu

Hatimiliki ©2017Halmashauri ya Wilaya ya Sikonge, Haki zote zimehifadhiwa