Imewekwa: April 1st, 2017
Maadhimisho ya upandaji miti Duniani, Wilaya ya Sikonge imeadhimisha siku hii kwa kupanda miti katika maeneo ya TASAF, Barabara kuu, Barabara ya Dear mama na Barabara ya kuelekea TAKUKURU. Mgeni rasmi...
Imewekwa: March 11th, 2017
Watumishi Wilayani Sikonge pamoja na wananchi wakitekeleza agizo la Makamu wa Rais, ambalo lilifanyika tarehe 11/03/2017 katika uwanja wa CCM Sikonge Madukani....
Imewekwa: March 8th, 2017
Maadhimisho ya siku ya wanawake duniani katika Wilaya ya Sikonge yamefanyika katika Hospitali teule ya Wilaya CDH, kata ya Misheni kwa kufanya usafi na kupanda miti....