Imewekwa: November 10th, 2024
Tume ya Maendeleo ya Ushirika Tanzania kanda ya Magharibi imetangaza kumalizika kwa mafunzo ya siku saba kwa wajumbe wa bodi na wawakilishi wa vyama vya ushirika vya msingi wilaya ya Sikonge. Mafunzo ...
Imewekwa: November 6th, 2024
Kamati ya Fedha, Uongozi, na Mipango ya Halmashauri ya Wilaya ya Sikonge, imetembelea na kukagua miradi mbalimbali ya maendeleo inayotekelezwa katika kipindi cha robo ya kwanza cha mwaka wa fedha 2024...
Imewekwa: October 30th, 2024
Maadhimisho ya Siku ya Lishe Kitaifa yamefanyika katika Uwanja wa Shule ya Sekondari Kamagi, huku lengo likiwa kutoa elimu juu ya umuhimu wa lishe bora kwa vijana.
Akifungua maadhimisho hayo Kaimu ...