Imewekwa: May 1st, 2018
Maadhimisho ya sherehe za MEI MOSI 2018 Wilayani Sikonge yamefanyika katika Kata ya Sikonge eneo la kiwanja kipya cha mpira wa miguu karibu na soko la TASAF ambapo mgeni rasmi alikuwa ni Mkuu wa Wilay...
Imewekwa: March 25th, 2018
Waumini wa Kanisa la wasabato la Adventista Wilayani Sikonge maeneo ya Ukanga wamefanya huduma ya matendo ya huruma katika Kituo cha Afya Mazinge leo.
Waumini hao wamefanya shughuli mbali...
Imewekwa: March 25th, 2018
Maadhimisho ya Siku ya Kifua Kikuu (TB) Duniani yamefanyika jana Kimkoa katika Kata ya Kitunda maeneo ya Mgodini Wilayani Sikonge ambapo Mgeni Rasmi akiwa ni Mwenyekiti wa Halmashauri ...