Imewekwa: February 21st, 2025
Na, Edigar Nkilabo
Serikali kupitia Wakala wa Nishati Vijijini REA wametoa mitungi ya gesi ya ruzuku zaidi ya 3000 kwa wakazi wa wilaya ya Sikonge ili kuhamasisha wananchi kutumia nishati safi ya k...
Imewekwa: February 7th, 2025
Baraza la madiwani la Halmashauri ya Wilaya ya Sikonge mkoani Tabora limepitia na kupitisha mapendekezo ya makisio ya Bajeti ya shilingi bilioni 37.074 kwa mwaka wa fedha 2025/2026.
Hayo yamejiri k...
Imewekwa: February 10th, 2025
Na, Linah Rwambali
WIZARA ya Katiba na sheria imetoa mafunzo ya uraia na utawala bora kwa viongozi 41 wa mamlaka za serikali za mitaa katika Wilaya ya Sikonge, mkoani Tabora.
Akizungumz...