Imewekwa: December 14th, 2023
Mkurugenzi Msaidizi Ofisi ya Rais Utumishi Bi. Elizabeth Makyao akiambatana na Wawezeshaji toka ofisi ya Rais Utumishi wameendesha mafunzo ya mifumo mipya ya Pepmis na Pipmis kwa Wakuu wa Idara na Div...
Imewekwa: December 14th, 2023
Mkuu wa Wilaya ya Sikonge Mhe. Simon Chacha ameongoza kikao cha kamati ya ushauri Wilaya ya Sikonge kilichofanyika katika Ukumbi wa Mikutano wa Halmashauri ya Wilaya ya Sikonge.
Akichangia hoja ya ...
Imewekwa: December 7th, 2023
Akitoa Taarifa ya utekelezaji wa ilani ya uchaguzi ya Chama cha Mapinduzi (CCM) Mhe. Simon Chacha ameelezea kwa kina juu ya mambo yaliyotekelezwa katika sekta ya Kilimo na Mifugo,Elimu,Miundombinu,Afy...