• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za wafanyakazi |
Sikonge District Council
Sikonge District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Sikonge

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
      • Chimbuko/Asili
      • Ukubwa wa Eneo
      • Idadi ya Watu
      • Hali ya Hewa
      • Shughuli za kiuchumi
      • Orodha ya Viongozi
    • Dhamira na Dira
    • Mikakati
    • Maadili ya Msingi
  • Utawala
    • Muundo wa Tasisi
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali watu
      • Mipango,Takwimu na Ufuatiliaji
      • Elimu ya msingi
      • Elimu ya sekondari
      • Mifugo na uvuvi
      • Afya na Ustawi wa jamii
      • Maji
      • Ujenzi
      • Ardhi na Maliasili
      • Maendeleo ya Jamii
      • Fedha na Biashara
      • Mazingira na Taka ngumu
      • Kilimo, Umwagilaji na Ushirika
    • Vitengo
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Ukaguzi wa ndani
      • Manunuzi na Ugavi
      • Uchaguzi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Uchimbaji wa Madini
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma zetu
    • Elimu
    • Afya
    • Maji
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Fedha, Uongozi na Mipango
      • Elimu, Afya na Maji
      • Uchumi, Ujenzi na Mazingira
      • Kudhibiti UKIMWI
      • Maadili
    • Ratiba
      • Vikao vya Kisheria vya Halmashauri
      • Kuonana na Mwenyekiti wa Halmashauri
  • Miradi
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi Itakayotekelezwa
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo Ndogo
    • Miongozo Mbalimbali
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu Mbalimbali
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
  • Kituo cha Habari
    • Maktaba ya sanaa
      • Sanaa za picha
    • Taarifa kwa umma
    • Hotuba
    • Habari mpya
    • Matukio

SIKONGE YAFANYA MKUTANO WA MAOMBI NA MAOMBOLEZO YA HAYATI MHE.DKT. JOHN POMBE MAGUFULI

Imewekwa: March 23rd, 2021

SIKONGE YAFANYA MKUTANO WA MAOMBI NA MAOMBOLEZO YA HAYATI MHE.DKT. JOHN POMBE MAGUFULI.

Na.Anna Kapama-Sikongedc

Viongozi wa madhebu ya kidini, Wakuu wa Taasisi, watumishi wa umma na wananchi wa Wilaya ya Sikonge Leo tarehe 23/3/2021 wamefanya Ibaada maalumu ya kumuombea aliyekuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Hayati Dkt.John Pombe Magufuli aliyefariki tarehe 17 Machi, 2021.

Akitoa hotuba fupi Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi(CCM) Anna Chambala amewataka wananchi kuendelea kuyaishi kwa vitendo maono ya Hayati Dkt John Pombe Magufuli kwa kudumisha amani,upendo na mshikamano huku wakimtanguliza Mungu kwa kila jambo.

Aidha, amesikitishwa na kulaani vikali vitendo vya watu wachache wasioitakia mema Nchi ya Tanzania kwa kuonesha kufurahishwa na kifo cha shujaa huyu wa taifa la Tanzani na kuwataka waache maramoja.

Hafla hiyo ya kumuombea imefanyika katika viwanja vya CCM Wilaya ya sikonge na kuhudhuriwa na mamia ya wananchi waliojaa majonzi na huzuni ya kumpoteza kiongozi shujaa wa Tanzania.

Nae Sheikh  wa Wilaya ya Sikonge,Jumanne Hassani amewataka wananchi kuwa watulivu katika kipindi hiki kigumu ambacho Taifa linapitia na kumuombea ili  wanaobaki waweze kuenzi yaliyoachwa na Hayati dkt John Magufuli.

Aidha, Katibu Tawala wa Wilaya ya Sikonge, Renatus Mahimbali  akitoa salamu kwa niaba ya Mkuu wa Wilaya amewataka wananchi kukumbuka maendeleo yaliyofanywa na Hayati dkt John Magufuli ikiwemo miundombinu bora ya barabara,umeme na maji, miradi ambayo imetekelezwa katika kipindi cha miaka mitano ya utawala wake huku akimpongeza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania MHE.Samia Suluhu Hassan kwa kuwa ni kiongozi anaeaminiwa na kwamba atasimamia maono na dira ya Taifa.

Kwa upande wake  wakili Paroko wa kanisa Katoliki, Fr. Deo Shiwala,akieleza mambo makubwa ambayo ameyafanya ikiwemo miradi ya maendeleo na huduma bora za jamii zinazopatikana Wilaya ya Sikonge ni kumbukumbu tosha kuonesha   namna ambavyo Hayati Dkt John Magufuli   alivyojitoa kwa kuwatumikia  watanzania.

Ibaada hiyo ya maombi maalumu imehudhuriwa na viongozi wa madhebu mbalimbali ya kidini,viongozi wa Chama Cha Mapinduzi(CCM) akiwemo mwenyekiti wa chama hicho Anna Chambala,Watumishi wa Umma Wilaya ya Sikonge,Vyombo vya ulinzi na usalama na mamia ya wakazi wa Sikonge.

Matangazo

  • TANGAZO LA ZABUNI YA KUKODISHA CANTEEN [MGAHAWA] MPYA KWENYE JENGO LA MAKAO MAKUU YA HALMASHAURI June 07, 2023
  • ZAABUNI YA KUMPATA MWEKEZAJI KATIKA KIWANDA CHA KATI CHA KUCHAKATA MAZAO YA NYUKI(MARUDIO) June 07, 2023
  • ZABUNI YA KUTOA HUDUMA YA USAFI KWENYE OFISI ZA HALMASHAURI June 07, 2023
  • ZABUNI YA KUTOA HUDUMA YA ULINZI June 07, 2023
  • Angalia zaidi

Habari Mpya

  • MJUMBE WA TUME HURU YA TAIFA YA UCHAGUZI ATEMBELEA VITUO VYA UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA WILAYANI SIKONGE

    May 07, 2025
  • KIKAO CHA TATHIMINI YA MKATABA WA LISHE WILAYANI SIKONGE

    April 29, 2025
  • WATENDAJI WA INEC WILAYANI SIKONGE WAMEKULA KIAPO CHA UADILIFU, KUJIWEKA KANDO NA VYAMA VYA SIASA.

    April 29, 2025
  • HALMASHAURI YA WILAYA YA SIKONGE YAADHIMISHA MIAKA 61 YA MUUNGANO KWA KUFANYA USAFI

    April 26, 2025
  • Angalia zaidi

Video

Ziara ya Waheshimiwa Madiwani Wilayani Rungwe - Mbeya.
Video zaidi

Kurasa za haraka

  • Zabuni
  • Matukio
  • Matangazo
  • Habari

Tovuti Mashuhuri

  • Ofisi ya Taifa ya Takwimu
  • Mkoa wa Tabora
  • TAMISEMI
  • Urambo DC
  • UTUMISHI
  • Kaliua DC

Watembeleaji wa Kimataifa

world map hits counter

Waliotembelea

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Mkurugenzi Mtendaji Sikonge DC

    Anuani ya Posta: S.L.P 70 Sikonge, Tabora

    Simu: 0767135460

    Simu: 0767135460

    Barua pepe: ded@sikongedc.go.tz

Mawasiliano zaidi

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani ya tovuti
    • Huduma zetu

Hatimiliki ©2017Halmashauri ya Wilaya ya Sikonge, Haki zote zimehifadhiwa