• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za wafanyakazi |
Sikonge District Council
Sikonge District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Sikonge

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
      • Chimbuko/Asili
      • Ukubwa wa Eneo
      • Idadi ya Watu
      • Hali ya Hewa
      • Shughuli za kiuchumi
      • Orodha ya Viongozi
    • Dhamira na Dira
    • Mikakati
    • Maadili ya Msingi
  • Utawala
    • Muundo wa Tasisi
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali watu
      • Mipango,Takwimu na Ufuatiliaji
      • Elimu ya msingi
      • Elimu ya sekondari
      • Mifugo na uvuvi
      • Afya na Ustawi wa jamii
      • Maji
      • Ujenzi
      • Ardhi na Maliasili
      • Maendeleo ya Jamii
      • Fedha na Biashara
      • Mazingira na Taka ngumu
      • Kilimo, Umwagilaji na Ushirika
    • Vitengo
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Ukaguzi wa ndani
      • Manunuzi na Ugavi
      • Uchaguzi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Uchimbaji wa Madini
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma zetu
    • Elimu
    • Afya
    • Maji
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Fedha, Uongozi na Mipango
      • Elimu, Afya na Maji
      • Uchumi, Ujenzi na Mazingira
      • Kudhibiti UKIMWI
      • Maadili
    • Ratiba
      • Vikao vya Kisheria vya Halmashauri
      • Kuonana na Mwenyekiti wa Halmashauri
  • Miradi
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi Itakayotekelezwa
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo Ndogo
    • Miongozo Mbalimbali
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu Mbalimbali
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
  • Kituo cha Habari
    • Maktaba ya sanaa
      • Sanaa za picha
    • Taarifa kwa umma
    • Hotuba
    • Habari mpya
    • Matukio

MKURUGENZI MTENDAJI AKABIDHIWA RASMI OFISI NA ALIYEKUWA KAIMU MKURUGENZI.

Imewekwa: August 13th, 2021

MKURUGENZI MTENDAJI AKABIDHIWA RASMI OFISI NA ALIYEKUWA KAIMU MKURUGENZI.

Na. Anna Kapama

Agosti 13, 2021

Aliyekuwa Kaimu Mkurugenzi Mtendaji Halmashauri ya Wilaya ya Sikonge, Tito Luchagula amemkabidhi ofisi Mkurugenzi Mtendaji Seleman Pandawe  na kumpongeza kwa uteuzi huo huku akiahidi kushirikiana nae  katika kuwatumikia wananchi.

Kwa upande wake Bwana Tito Luchagula amewashukuru viongozi mbalimbali wa Chama cha Mapinduzi, Ofisi ya Mkuu wa Wilaya, Watumishi na Wananchi kwa ujumla kwa ushirikiano waliompatia katika kipindi chote alichokuwa akikaimu nafasi ya Ukurugenzi.

Aidha, Mkurugenzi Mtendaji amemshukuru bwana Tito Luchagula na kupongeza juhudi na mafanikio yaliyopatikana kipindi cha kukaimu kwake ikiwa ni pamoja kusimamia miradi ya maendeleo kwa ufanisi mkubwa ikiwemo ujenzi wa Hospitali ya Wilaya, Ujenzi wa Kiwanda cha kuchakata mazao ya nyuki, Kusimamia ujenzi wa vyumba vya madarasa msingi na sekondari, maandalizi ya standi mpya pamoja na kusimamia ukusanyaji wa mapato hadi kufikia 83% kwa mwaka 2020/2021.

Pia, DED Pandawe ameahidi kuendeleza mafanikio na kuhakikisha anaongeza zaidi kwa manufaa ya Sikonge na Taifa kwa ujumla, huku akiwaomba ushirikiano uliokuwepo kutoka kwa Viongozi, watumishi na Wananchi uendelee katika kutimiza adhima ya kuleta maendeleo.

Makabidhiano hayo yamefanyika leo katika Ofisi ya Mkurugenzi Mtendaji  na kushuhudiwa na wakuu wa Idara na Vitengo mbalimbali.

Matangazo

  • TANGAZO LA ZABUNI YA KUKODISHA CANTEEN [MGAHAWA] MPYA KWENYE JENGO LA MAKAO MAKUU YA HALMASHAURI June 07, 2023
  • ZAABUNI YA KUMPATA MWEKEZAJI KATIKA KIWANDA CHA KATI CHA KUCHAKATA MAZAO YA NYUKI(MARUDIO) June 07, 2023
  • ZABUNI YA KUTOA HUDUMA YA USAFI KWENYE OFISI ZA HALMASHAURI June 07, 2023
  • ZABUNI YA KUTOA HUDUMA YA ULINZI June 07, 2023
  • Angalia zaidi

Habari Mpya

  • UZINDUZI WA SHULE YA MSINGI KININGA - KATA YA IPOLE

    May 09, 2025
  • MJUMBE WA TUME HURU YA TAIFA YA UCHAGUZI ATEMBELEA VITUO VYA UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA WILAYANI SIKONGE

    May 07, 2025
  • KIKAO CHA TATHIMINI YA MKATABA WA LISHE WILAYANI SIKONGE

    April 29, 2025
  • WATENDAJI WA INEC WILAYANI SIKONGE WAMEKULA KIAPO CHA UADILIFU, KUJIWEKA KANDO NA VYAMA VYA SIASA.

    April 29, 2025
  • Angalia zaidi

Video

Ziara ya Waheshimiwa Madiwani Wilayani Rungwe - Mbeya.
Video zaidi

Kurasa za haraka

  • Zabuni
  • Matukio
  • Matangazo
  • Habari

Tovuti Mashuhuri

  • Ofisi ya Taifa ya Takwimu
  • Mkoa wa Tabora
  • TAMISEMI
  • Urambo DC
  • UTUMISHI
  • Kaliua DC

Watembeleaji wa Kimataifa

world map hits counter

Waliotembelea

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Mkurugenzi Mtendaji Sikonge DC

    Anuani ya Posta: S.L.P 70 Sikonge, Tabora

    Simu: 0767135460

    Simu: 0767135460

    Barua pepe: ded@sikongedc.go.tz

Mawasiliano zaidi

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani ya tovuti
    • Huduma zetu

Hatimiliki ©2017Halmashauri ya Wilaya ya Sikonge, Haki zote zimehifadhiwa