Halmashauri ya Wilaya ya Sikonge ni Wilaya ambayo ina idadi kubwa ya Wananchi wanaojishughulisha na shughuli za Ufugaji wa Ng'ombe, Mbuzi, Kondoo, Punda, Kuku, Bata, Nyuki n.k. Mifugo hii imekuwa chanzo kizuri cha mapato kwa wananchi na Serikali kwa ujumla.
Mkurugenzi Mtendaji Sikonge DC
Anuani ya Posta: S.L.P 70 Sikonge, Tabora
Simu: +255262965732
Simu: +255262965732
Barua pepe: ded@sikongedc.go.tz
Hatimiliki ©2017Halmashauri ya Wilaya ya Sikonge, Haki zote zimehifadhiwa