Halmashauri ya Wilaya ya Sikonge imepokea kibali cha Ajira Mbadala chenye Kumb. Na. FA.170/365/01j'B"/10 cha tarehe 24/06/2020 kutoka kwa Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora. Kufuatia kibali hicho Mkurugenzi Mtendaji Halmashauri ya Wilaya ya Sikonge anawatangazia watanzania wote wenye sifa na uwezo kutuma maombi ya nafasi hizo kwa kuzingatia sifa, vigezo na maelekezo yaliyo katika Tangazo hili. KUPAKUA TANGAZO, BOFYA HAPA--->TANGAZO LA KAZI.pdf
Mkurugenzi Mtendaji Sikonge DC
Anuani ya Posta: S.L.P 70 Sikonge, Tabora
Simu: 0767135460
Simu: 0767135460
Barua pepe: ded@sikongedc.go.tz
Hatimiliki ©2017Halmashauri ya Wilaya ya Sikonge, Haki zote zimehifadhiwa