WATANZANIA WOTE WENYE SIFA ZA KUOMBA NAFASI ZA KAZI MBALIMBALI ZA MKATABA ZILIZOTANGAZWA NA MKURUGENZI MTENDAJI WA HALMASHAURI YA WILAYA YA SIKONGE MNAKARIBISHWA
KUTUMA MAOMBI KWA MUJIBU WA TANGAZO HILO .
MAOMBI YATUMWE KUPITIA ANUANI YA HALMASHAURI , KUANZIA LEO TAREHE 18/08/2025 HADI TAREHE 02/09/2025 SAA 9:30 ALASIRI
Mkurugenzi Mtendaji Sikonge DC
Anuani ya Posta: S.L.P 70 Sikonge, Tabora
Simu: 0767135460
Simu: 0767135460
Barua pepe: ded@sikongedc.go.tz
Hatimiliki ©2017Halmashauri ya Wilaya ya Sikonge, Haki zote zimehifadhiwa