• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za wafanyakazi |
Sikonge District Council
Sikonge District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Sikonge

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
      • Chimbuko/Asili
      • Ukubwa wa Eneo
      • Idadi ya Watu
      • Hali ya Hewa
      • Shughuli za kiuchumi
      • Orodha ya Viongozi
    • Dhamira na Dira
    • Mikakati
    • Maadili ya Msingi
  • Utawala
    • Muundo wa Tasisi
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali watu
      • Mipango,Takwimu na Ufuatiliaji
      • Elimu ya msingi
      • Elimu ya sekondari
      • Mifugo na uvuvi
      • Afya na Ustawi wa jamii
      • Maji
      • Ujenzi
      • Ardhi na Maliasili
      • Maendeleo ya Jamii
      • Fedha na Biashara
      • Mazingira na Taka ngumu
      • Kilimo, Umwagilaji na Ushirika
    • Vitengo
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Ukaguzi wa ndani
      • Manunuzi na Ugavi
      • Uchaguzi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Uchimbaji wa Madini
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma zetu
    • Elimu
    • Afya
    • Maji
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Fedha, Uongozi na Mipango
      • Elimu, Afya na Maji
      • Uchumi, Ujenzi na Mazingira
      • Kudhibiti UKIMWI
      • Maadili
    • Ratiba
      • Vikao vya Kisheria vya Halmashauri
      • Kuonana na Mwenyekiti wa Halmashauri
  • Miradi
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi Itakayotekelezwa
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo Ndogo
    • Miongozo Mbalimbali
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu Mbalimbali
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
  • Kituo cha Habari
    • Maktaba ya sanaa
      • Sanaa za picha
      • Sanaa za Video
    • Taarifa kwa umma
    • Hotuba
    • Habari mpya
    • Matukio

MADIWANI SIKONGE WATAKIWA KUTATUA KERO ZA WANANCHI

Imewekwa: December 15th, 2020

Na Allan Vicent, Sikonge

Madiwani wa Halmashauri ya Wilaya ya Sikonge Mkoani Tabora wametakiwa kuhakikisha kero za wananchi zinatatuliwa katika kata zao na kusimamia vyema mikakati ya kimaendeleo inayowasilishwa katika vikao vya halmashauri hiyo.

Rai hiyo imetolewa leo, Desemba 15, na Mwenyekiti Mpya wa Halmashauri ya wilaya hiyo, Rashid Magope ambaye ni diwani wa kata ya Tutuo (CCM) alipokuwa akitoa neno la shukrani katika kikao hicho ambapo wajumbe wote 28 walimpigia  kura za ndiyo.

Amesema kuwa Halmashauri hiyo imepata mafanikio makubwa sana katika miaka mitano iliyopo kutokana na ushirikiano mzuri uliopo baina ya madiwani, watendaji na watalaamu, hivyo akasisitiza umuhimu wa kudumishwa kwa mshikamano huo.

‘Tunalo deni kubwa kwa wananchi, Sikonge ya leo sio ya jana imebadilika sana, naomba kila mmoja akasimame kwenye zamu yake, akawatumikie wananchi ipasavyo, akasikilize kero zao na kuzitafutia ufumbuzi’, amesema Magope.

Magope amesisitiza kuwa ndoto yake ni kuona halmashauri hiyo ikiendelea kupanda hadhi na kuwa na Mamlaka ya Mji ili kuharakisha maendeleo ya wananchi ikiwemo kuboresha mandhari ya Mji huo.

Naye, Mbunge wa Jimbo la Sikonge, Joseph Kakunda amesema kuwa hatma ya udiwani na ubunge wao katika uchaguzi ujao wa mwaka 2025 iko mikononi mwao, hivyo wanapaswa kutumia nafasi hiyo vizuri kwa kuchapa kazi kwa bidii ili wapiga kura waendelee kuwaamini.

Kwa upande wake Makamu Mwenyekiti wa halmashauri hiyo, Mayeka  Mbussa (diwani wa kata ya Kilumbi) amesema wako tayari kuwatumikia wananchi kwa viwango vya juu ili Chama Cha Mapinduzi kiendelee kuaminika kwa wananchi.

Wakitoa salamu za chama katika kikao Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi(CCM) wilayani humo, Anna Chambala, Katibu wake, Magdalena Ndwete na Mwenezi Bakari Malugu waliwapongeza wakazi wa wilaya hiyo kwa kuchagua madiwani wote wa chama hicho, na kuahidi kuwa chama kitaendelea kuwatumikia kwa viwango vya juu.

Wamesema kuwa uchaguzi umeisha hivyo wakawataka mbunge na madiwani wote kusimamia utekelezaji ilani ya uchaguzi ya chama kwa vitendo ikiwemo kutatua kero za wananchi na kutekeleza ahadi zao kwa wananchi.

Matangazo

  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI ZA MKATABA KATIKA HALMASHAURI YA WILAYA YA SIKONGE February 25, 2021
  • TANGAZO LA VIPALATA 2021 March 19, 2021
  • WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA KIDATO CHA KWANZA MWAKA 2021 HALMASHAURI YA WILAYA YA SIKONGE December 18, 2020
  • FOMU ZA KUJIUNGA KIDATO CHA KWANZA 2021 (JOINING INSTRUCTION) SHULE ZA SEKONDARI SIKONGE DC December 17, 2020
  • Angalia zaidi

Habari Mpya

  • SIKONGE YAFANYA MKUTANO WA MAOMBI NA MAOMBOLEZO YA HAYATI MHE.DKT. JOHN POMBE MAGUFULI

    March 23, 2021
  • MAADHIMISHO YA SIKU YA WANAWAKE DUNIANI WILAYANI SIKONGE

    March 08, 2021
  • KAMATI YA SIASA MKOA WA TABORA YAFANYA UKAGUZI MIRADI YA MAENDELEO SIKONGE

    March 04, 2021
  • BARAZA LA MADIWANI SIKONGE LAPITISHA BAJETI YA MWAKA 2021/2022

    February 02, 2021
  • Angalia zaidi

Video

MAKAMU WA RAIS MHE. SAMIA SULUHU HASSAN
Video zaidi

Kurasa za haraka

  • Zabuni
  • Matukio
  • Matangazo
  • Habari

Tovuti Mashuhuri

  • Ofisi ya Taifa ya Takwimu
  • Mkoa wa Tabora
  • TAMISEMI
  • Urambo DC
  • UTUMISHI
  • Kaliua DC

Watembeleaji wa Kimataifa

world map hits counter

Waliotembelea

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Mkurugenzi Mtendaji Sikonge DC

    Anuani ya Posta: S.L.P 70 Sikonge, Tabora

    Simu: +255262965732

    Simu: +255262965732

    Barua pepe: ded@sikongedc.go.tz

Mawasiliano zaidi

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani ya tovuti
    • Huduma zetu

Hatimiliki ©2017Halmashauri ya Wilaya ya Sikonge, Haki zote zimehifadhiwa