• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za wafanyakazi |
Sikonge District Council
Sikonge District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Sikonge

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
      • Chimbuko/Asili
      • Ukubwa wa Eneo
      • Idadi ya Watu
      • Hali ya Hewa
      • Shughuli za kiuchumi
      • Orodha ya Viongozi
    • Dhamira na Dira
    • Mikakati
    • Maadili ya Msingi
  • Utawala
    • Muundo wa Tasisi
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali watu
      • Mipango,Takwimu na Ufuatiliaji
      • Elimu ya msingi
      • Elimu ya sekondari
      • Mifugo na uvuvi
      • Afya na Ustawi wa jamii
      • Maji
      • Ujenzi
      • Ardhi na Maliasili
      • Maendeleo ya Jamii
      • Fedha na Biashara
      • Mazingira na Taka ngumu
      • Kilimo, Umwagilaji na Ushirika
    • Vitengo
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Ukaguzi wa ndani
      • Manunuzi na Ugavi
      • Uchaguzi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Uchimbaji wa Madini
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma zetu
    • Elimu
    • Afya
    • Maji
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Fedha, Uongozi na Mipango
      • Elimu, Afya na Maji
      • Uchumi, Ujenzi na Mazingira
      • Kudhibiti UKIMWI
      • Maadili
    • Ratiba
      • Vikao vya Kisheria vya Halmashauri
      • Kuonana na Mwenyekiti wa Halmashauri
  • Miradi
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi Itakayotekelezwa
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo Ndogo
    • Miongozo Mbalimbali
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu Mbalimbali
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
  • Kituo cha Habari
    • Maktaba ya sanaa
      • Sanaa za picha
    • Taarifa kwa umma
    • Hotuba
    • Habari mpya
    • Matukio

WATUMISHI WA HALMASHAURI YA WILAYA YA SIKONGE WASHAURIWA KUJIANDAA KUSTAAFU.

Imewekwa: October 21st, 2021

WATUMISHI WA HALMASHAURI YA WILAYA YA SIKONGE WASHAURIWA KUJIANDAA KUSTAAFU.

Akiendelea na ziara katika kata za: Chabutwa, Ipole  na Ngoywa, Mkuu wa Idara ya Utawala na Rasilimali watu(W) Nico Kayange amewaasa watumishi wa Umma walio katika Wilaya hiyo kutumia vema nafasi za utumishi walizonazo kwa sasa ili waweze kujiandaa vema kustaafu wakiwa na uhakika wa kuishi maisha bora baada ya kustaafu nafasi hizo.

DHRO Kayange ameyasema hayo  alipozungumza na watumishi wa Umma ikiwa ni  mwendelezo wa ziara ya Mkurugenzi Mtendaji (W) kuwatembelea watumishi wote wa Halmashauri ya Sikonge akisikiliza *kero* zao pamoja na kutoa maelekezo na maagizo ambayo watumishi wanapaswa kuyazingatia wanapotoa huduma bora kwa jamii."Fedha za kustaafu sio za kukopesha na kufanyia miradi mikubwa badala yake ni vema kuwekeza kwenye HISA ..kwa hiyo jiandaeni kustaafu vyema, Jiandaeni Kisaikolojia kuuacha Utumishi wa Umma...sio mstaafu unamkuta baada ya muda mfupi tu wa kustaafu anageuka ombaomba....ni kuaibisha utumishi wa Umma" DHRO Kayange.

Akijibu  kero  mbalimbali za watumishi ikiwemo upungufu wa watumishi, kufutiwa barua zao za kupandishwa vyeo kwa mwaka 2016 na 2021, baadhi ya watumishi kutotimiza wajibu wao, Mapunjo ya mishahara kutolipwa hadi sasa kero ambazo zimeanza kutatuliwa ikiwemo  mapunjo ya Mishahara kuanzia Mwaka 2013 hadi 2020, DHRO Kayange amesema  Serikali imetoa fedha zaidi ya Tsh.Milioni 500  kuwalipa mapunjo ya mishahara watumishi(659) wa kada mbalimbali na tayari wamelipwa.

Aidha DHRO Kayange ameongeza kuwa  zaidi ya watumishi (865) mapunjo yao ya mishahara yamewasilishwa kwa Katibu - Mkuu - Utumishi kwa ajili ya  kuchambuliwa ili fedha ikipatikana watumishi hao waweze kulipwa.

Katika hatua nyingine Kaimu Mkuu wa Idara ya Afya, Dkt.Grace Molel ametumia fursa hiyo kuwahamasisha watumishi kuchanja chanjo ya UVIKO-19 kwa ajili ya kulinda afya zao na kuwalinda wengine ikiwa ni sehemu ya mapambano dhidi ya Ugonjwa huo.

Na.Anna Kapama.

Matangazo

  • TANGAZO LA ZABUNI YA KUKODISHA CANTEEN [MGAHAWA] MPYA KWENYE JENGO LA MAKAO MAKUU YA HALMASHAURI June 07, 2023
  • ZAABUNI YA KUMPATA MWEKEZAJI KATIKA KIWANDA CHA KATI CHA KUCHAKATA MAZAO YA NYUKI(MARUDIO) June 07, 2023
  • ZABUNI YA KUTOA HUDUMA YA USAFI KWENYE OFISI ZA HALMASHAURI June 07, 2023
  • ZABUNI YA KUTOA HUDUMA YA ULINZI June 07, 2023
  • Angalia zaidi

Habari Mpya

  • MJUMBE WA TUME HURU YA TAIFA YA UCHAGUZI ATEMBELEA VITUO VYA UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA WILAYANI SIKONGE

    May 07, 2025
  • KIKAO CHA TATHIMINI YA MKATABA WA LISHE WILAYANI SIKONGE

    April 29, 2025
  • WATENDAJI WA INEC WILAYANI SIKONGE WAMEKULA KIAPO CHA UADILIFU, KUJIWEKA KANDO NA VYAMA VYA SIASA.

    April 29, 2025
  • HALMASHAURI YA WILAYA YA SIKONGE YAADHIMISHA MIAKA 61 YA MUUNGANO KWA KUFANYA USAFI

    April 26, 2025
  • Angalia zaidi

Video

Ziara ya Waheshimiwa Madiwani Wilayani Rungwe - Mbeya.
Video zaidi

Kurasa za haraka

  • Zabuni
  • Matukio
  • Matangazo
  • Habari

Tovuti Mashuhuri

  • Ofisi ya Taifa ya Takwimu
  • Mkoa wa Tabora
  • TAMISEMI
  • Urambo DC
  • UTUMISHI
  • Kaliua DC

Watembeleaji wa Kimataifa

world map hits counter

Waliotembelea

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Mkurugenzi Mtendaji Sikonge DC

    Anuani ya Posta: S.L.P 70 Sikonge, Tabora

    Simu: 0767135460

    Simu: 0767135460

    Barua pepe: ded@sikongedc.go.tz

Mawasiliano zaidi

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani ya tovuti
    • Huduma zetu

Hatimiliki ©2017Halmashauri ya Wilaya ya Sikonge, Haki zote zimehifadhiwa