• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za wafanyakazi |
Sikonge District Council
Sikonge District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Sikonge

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
      • Chimbuko/Asili
      • Ukubwa wa Eneo
      • Idadi ya Watu
      • Hali ya Hewa
      • Shughuli za kiuchumi
      • Orodha ya Viongozi
    • Dhamira na Dira
    • Mikakati
    • Maadili ya Msingi
  • Utawala
    • Muundo wa Tasisi
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali watu
      • Mipango,Takwimu na Ufuatiliaji
      • Elimu ya msingi
      • Elimu ya sekondari
      • Mifugo na uvuvi
      • Afya na Ustawi wa jamii
      • Maji
      • Ujenzi
      • Ardhi na Maliasili
      • Maendeleo ya Jamii
      • Fedha na Biashara
      • Mazingira na Taka ngumu
      • Kilimo, Umwagilaji na Ushirika
    • Vitengo
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Ukaguzi wa ndani
      • Manunuzi na Ugavi
      • Uchaguzi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Uchimbaji wa Madini
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma zetu
    • Elimu
    • Afya
    • Maji
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Fedha, Uongozi na Mipango
      • Elimu, Afya na Maji
      • Uchumi, Ujenzi na Mazingira
      • Kudhibiti UKIMWI
      • Maadili
    • Ratiba
      • Vikao vya Kisheria vya Halmashauri
      • Kuonana na Mwenyekiti wa Halmashauri
  • Miradi
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi Itakayotekelezwa
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo Ndogo
    • Miongozo Mbalimbali
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu Mbalimbali
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
  • Kituo cha Habari
    • Maktaba ya sanaa
      • Sanaa za picha
    • Taarifa kwa umma
    • Hotuba
    • Habari mpya
    • Matukio

WANANCHI 1750 KUNUFAIKA NA MRADI WA MAJI TUWASA-SIKONGE

Imewekwa: May 25th, 2022


WANANCHI 1750 KUNUFAIKA NA MRADI WA MAJI TUWASA-SIKONGE.

Na.Anna Kapama

Mamlaka ya Maji Safi na Usafi wa Mazingira Tabora(TUWASA) inatarajia kutekeleza mradi wa Maji kupitia Mradi wa "Quick Win" katika Kata ya Sikonge na Misheni.

Hayo yamesemwa na Mratibu wa TUWASA Kanda ya Sikonge Evans Binya kwenye Mkutano wa Baraza la Madiwani na kuongeza kuwa mradi huo utagharimu TSH.Milioni 484.8 ukihudumia Vijiji 10 ya Kata mbili za Sikonge na Misheni .

Aidha, Binya amesema Mradi huo utatekelezwa kwa miezi Sita Kuanzia Mwezi Mei na unatarajia kukamilika ifikapo Desemba 2022.

25.5.2022
#kaziiendelee

Matangazo

  • TANGAZO LA AJIRA HALMASHAURI YA WILAYA YA SIKONGE May 30, 2022
  • TANGAZO LA KUUZA VIWANJA KATIKA ENEO LA VIWANDA February 28, 2022
  • TANGAZO LA NAFASI YA UWAKILISHI WA JUMUIYA YA HIFADHI WANYAMA PORI IPOLE March 03, 2022
  • FURSA ZA UWEKEZAJI VIWANDA January 31, 2023
  • Angalia zaidi

Habari Mpya

  • NAIBU KATIBU MKUU WIZARA YA ELIMU, SAYANSI NA TEKNOLOJIA ASISITIZA UBUNIFU KATIKA VYUO VYA FDC.

    June 28, 2022
  • WATAALAMU KUTOKA WIZARA YA FEDHA NA MIPANGO WATEMBELEA HOSPITALI YA WILAYA.

    June 27, 2022
  • RC BATILDA AIPONGEZA SIKONGE RIPOTI YA CAG.

    June 25, 2022
  • CMT YAAGIZA USHIRIKISHWAJI WA KAMATI ZA UJENZI ZA KATA/VIJIJI.

    June 23, 2022
  • Angalia zaidi

Video

MAKAMU WA RAIS MHE. SAMIA SULUHU HASSAN
Video zaidi

Kurasa za haraka

  • Zabuni
  • Matukio
  • Matangazo
  • Habari

Tovuti Mashuhuri

  • Ofisi ya Taifa ya Takwimu
  • Mkoa wa Tabora
  • TAMISEMI
  • Urambo DC
  • UTUMISHI
  • Kaliua DC

Watembeleaji wa Kimataifa

world map hits counter

Waliotembelea

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Mkurugenzi Mtendaji Sikonge DC

    Anuani ya Posta: S.L.P 70 Sikonge, Tabora

    Simu: +255262965732

    Simu: +255262965732

    Barua pepe: ded@sikongedc.go.tz

Mawasiliano zaidi

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani ya tovuti
    • Huduma zetu

Hatimiliki ©2017Halmashauri ya Wilaya ya Sikonge, Haki zote zimehifadhiwa