• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za wafanyakazi |
Sikonge District Council
Sikonge District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Sikonge

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
      • Chimbuko/Asili
      • Ukubwa wa Eneo
      • Idadi ya Watu
      • Hali ya Hewa
      • Shughuli za kiuchumi
      • Orodha ya Viongozi
    • Dhamira na Dira
    • Mikakati
    • Maadili ya Msingi
  • Utawala
    • Muundo wa Tasisi
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali watu
      • Mipango,Takwimu na Ufuatiliaji
      • Elimu ya msingi
      • Elimu ya sekondari
      • Mifugo na uvuvi
      • Afya na Ustawi wa jamii
      • Maji
      • Ujenzi
      • Ardhi na Maliasili
      • Maendeleo ya Jamii
      • Fedha na Biashara
      • Mazingira na Taka ngumu
      • Kilimo, Umwagilaji na Ushirika
    • Vitengo
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Ukaguzi wa ndani
      • Manunuzi na Ugavi
      • Uchaguzi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Uchimbaji wa Madini
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma zetu
    • Elimu
    • Afya
    • Maji
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Fedha, Uongozi na Mipango
      • Elimu, Afya na Maji
      • Uchumi, Ujenzi na Mazingira
      • Kudhibiti UKIMWI
      • Maadili
    • Ratiba
      • Vikao vya Kisheria vya Halmashauri
      • Kuonana na Mwenyekiti wa Halmashauri
  • Miradi
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi Itakayotekelezwa
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo Ndogo
    • Miongozo Mbalimbali
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu Mbalimbali
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
  • Kituo cha Habari
    • Maktaba ya sanaa
      • Sanaa za picha
    • Taarifa kwa umma
    • Hotuba
    • Habari mpya
    • Matukio

WALIMU WAJENGEWA UWEZO KUHUSU UTUNZAJI WA MAZINGIRA

Imewekwa: February 4th, 2026


Na Linah Rwambali

Wenyeviti wa Bodi za shule na Walimu wamepatiwa mafunzo ya kutekeleza program ya uboreshaji wa mazingira katika shule teule kama shule mfano ili kuboresha mazingira ya shule.

Mafunzo hayo ambayo yameanza leo na yanatarijwa kumalizika kesho yanafanyika kwa ufadhili wa Serikali ya Canada kupitia Shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia Watoto UNICEF

Akizungumza wakati wa uzinduzi wa mafunzo hayo Kaimu Mkurugenzi na Afisa Elimu Sekondari Bi.Kalista Maina amewataka washiriki kuhakikisha wanaelewa na kufanyia kazi yote watakayofundishwa.

“Shirika la UNICEF linatumia pesa nyingi kuendesha mafunzo haya, nmnatakiwa kuhakikisha mnasikiliza kwa makini na kuyaweka katika vitendo yale yote mtakayojifunza na kusaidia utunzaji wa mazingira katika shule zenu” amesema.

Aidha Maina ameipongeza shule ya Sekondari Kamagi kwa utunzaji mzuri wa mazingira na kuwaomba washiriki wa mafunzo hayo kuiga mfano wa Kamagi.

Naye Mratibu wa Mafunzo (W) Ndugu Benjamin Mshandete amesema baada ya mafunzo hayo zoezi la uboreshaji wa mazingira shule za Sekondari kwa Wilaya ya Sikonge litafanyika katika kumi ambazo zitatumika kufundishia shule zingine namna bora ya kuhifadhi mazingira ya shule.

“Awali zoezi la uboreshaji wa mazingira litafanyika katika shule teule kumi ambazo ni Mole, Kamagi,Tutuo, Kiwele, Kiloli, Usunga, Igigwa, Mibono, Kilumbi na Nyahua ambapo shule hizi zitatumika kama mfano kwa shule zingine” amesema.

Jumla ya Wenyeviti wa bodi za shule kumi na walimu wa mazingira 23 toka shule zote za Sekondari Wilayani Sikonge wamehudhuria mafunzo hayo ambayo yameanza leo na yanatarajiwa kumalizika kesho.

Matangazo

  • TANGAZO LA FURSA ZA UWEKEZAJI HALMASHAURI YA WILAYA YA SIKONGE September 10, 2025
  • ZAABUNI YA KUMPATA MWEKEZAJI KATIKA KIWANDA CHA KATI CHA KUCHAKATA MAZAO YA NYUKI(MARUDIO) June 07, 2023
  • ZABUNI YA KUTOA HUDUMA YA USAFI KWENYE OFISI ZA HALMASHAURI June 07, 2023
  • ZABUNI YA KUTOA HUDUMA YA ULINZI June 07, 2023
  • Angalia zaidi

Habari Mpya

  • WATOTO WA UMRI WA MIAKA 5 HADI 14 WILAYANI SIKONGE WAMEZESHWA DAWA KINGATIBA

    February 04, 2026
  • WALIMU WAJENGEWA UWEZO KUHUSU UTUNZAJI WA MAZINGIRA

    February 04, 2026
  • HALMASHAURI YA WILAYA YA SIKONGE YAKAMILISHA UJENZI WA KITUO CHA REDIO JAMII (SIKONGE FM) KWA SHILINGI 190,455,100/= ZINAZOTOKANA NA MAPATO YA NDANI Na, Edigar Nkilabo – SikongeDC Halmashauri ya Wilaya ya Sikonge imekamilisha mradi wa ujenzi wa Kituo cha

    January 29, 2026
  • KAMATI YA FEDHA, UONGOZI NA MIPANGO (FUM) HALMASHAURI YA WILAYA YA SIKONGE YAPONGEZA KASI NA UBORA WA UTEKELEZAJI WA MIRADI YA MAENDELEO

    January 28, 2026
  • Angalia zaidi

Video

Ziara ya Waheshimiwa Madiwani Wilayani Rungwe - Mbeya.
Video zaidi

Kurasa za haraka

  • Matangazo
  • Zabuni
  • Matukio
  • Habari

Tovuti Mashuhuri

  • Ofisi ya Taifa ya Takwimu
  • Mkoa wa Tabora
  • TAMISEMI
  • Urambo DC
  • UTUMISHI
  • Kaliua DC

Watembeleaji wa Kimataifa

world map hits counter

Waliotembelea

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Mkurugenzi Mtendaji Sikonge DC

    Anuani ya Posta: S.L.P 70 Sikonge, Tabora

    Simu: 0767135460

    Simu: 0767135460

    Barua pepe: ded@sikongedc.go.tz

Mawasiliano zaidi

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani ya tovuti
    • Huduma zetu

Hatimiliki ©2017Halmashauri ya Wilaya ya Sikonge, Haki zote zimehifadhiwa

  • situs toto
  • situs toto
  • situs toto
  • situs toto
  • yamitoto
  • situs toto
  • situs toto
  • situs toto
  • situs toto
  • situs toto
  • slot gacor
  • situs toto
  • axl777
  • slot gacor
  • situs toto
  • axl777
  • yamitoto
  • slot gacor
  • axl777
  • situs toto
  • dora77
  • slot gacor
  • situs toto
  • dora77
  • situs toto
  • axl777
  • axl777
  • slot gacor
  • axl777
  • dora77
  • axl777
  • dora77
  • dora77
  • slot gacor
  • axl777
  • situs toto
  • yamitoto
  • nabitoto
  • nabitoto
  • koi200
  • slot gacor
  • slot gacor
  • ufabet
  • ufabet
  • ufabet
  • koi200
  • axl777
  • situs toto
  • slot gacor
  • aero88
  • aero88
  • >
  • situs toto
  • situs toto
  • slot gacor
  • situs toto
  • yamitoto
  • kudetabet98
  • kudetabet98
  • yamitoto
  • dora77
  • koi200
  • aero88
  • yamitoto
  • axl777
  • dora77
  • dora77
  • aero88
  • aero88
  • dora77
  • dora77
  • slot gacor
  • axl777
  • axl777
  • yamitoto
  • axl777
  • axl777
  • axl777
  • axl777
  • axl777
  • axl777
  • yamitoto
  • axl777
  • aero88
  • dora77
  • yamitoto
  • dora77
  • axl777