Desemba 16, 2022
Maafisa wa Idara na Vitengo mbalimbali kutoka Halmashauri ya Wilaya ya Sikonge wamehudhuria Mafunzo ya kuwajengea Uwezo kwa ajili ya utekelezaji wa Mradi wa Uboreshaji wa Elimu ya Awali na Msingi(BOOST).
Mafunzo ya Mradi wa Boost kwa Kanda ya Magharibi yakijumuisha Mikoa ya Simiyu, Shinyanga na Tabora yanafanyika Manispaa ya Tabora katika Ukumbi wa Chuo Cha Walimu (TTC).
#kaziendelee
Mkurugenzi Mtendaji Sikonge DC
Anuani ya Posta: S.L.P 70 Sikonge, Tabora
Simu: 0767135460
Simu: 0767135460
Barua pepe: ded@sikongedc.go.tz
Hatimiliki ©2017Halmashauri ya Wilaya ya Sikonge, Haki zote zimehifadhiwa