• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za wafanyakazi |
Sikonge District Council
Sikonge District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Sikonge

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
      • Chimbuko/Asili
      • Ukubwa wa Eneo
      • Idadi ya Watu
      • Hali ya Hewa
      • Shughuli za kiuchumi
      • Orodha ya Viongozi
    • Dhamira na Dira
    • Mikakati
    • Maadili ya Msingi
  • Utawala
    • Muundo wa Tasisi
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali watu
      • Mipango,Takwimu na Ufuatiliaji
      • Elimu ya msingi
      • Elimu ya sekondari
      • Mifugo na uvuvi
      • Afya na Ustawi wa jamii
      • Maji
      • Ujenzi
      • Ardhi na Maliasili
      • Maendeleo ya Jamii
      • Fedha na Biashara
      • Mazingira na Taka ngumu
      • Kilimo, Umwagilaji na Ushirika
    • Vitengo
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Ukaguzi wa ndani
      • Manunuzi na Ugavi
      • Uchaguzi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Uchimbaji wa Madini
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma zetu
    • Elimu
    • Afya
    • Maji
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Fedha, Uongozi na Mipango
      • Elimu, Afya na Maji
      • Uchumi, Ujenzi na Mazingira
      • Kudhibiti UKIMWI
      • Maadili
    • Ratiba
      • Vikao vya Kisheria vya Halmashauri
      • Kuonana na Mwenyekiti wa Halmashauri
  • Miradi
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi Itakayotekelezwa
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo Ndogo
    • Miongozo Mbalimbali
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu Mbalimbali
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
  • Kituo cha Habari
    • Maktaba ya sanaa
      • Sanaa za picha
    • Taarifa kwa umma
    • Hotuba
    • Habari mpya
    • Matukio

SERIKALI YA AWAMU YA SITA IMEDHAMIRIA KUWALETEA MAENDELEO YENYE TIJA

Imewekwa: October 8th, 2021

SERIKALI YA AWAMU YA SITA IMEDHAMIRIA KUWALETEA MAENDELEO YENYE TIJA.

SIKONGE,

8.10.2021.

Mkuu wa Mkoa wa Tabora Balozi Dkt.Batilda Buriani amesema Serikali ya awamu ya sita inayoongozwa na Rais Samia Suluhu Hassan inalenga kuhakikisha wananchi wake wanapata huduma bora za jamii pamoja na kuwasaidia kujikwamua kiuchumi ikizingatiwa kwamba Tanzania ipo katika uchumi wa kati.

Balozi Batilda ameyasema hayo alipofanya mkutano wa Hadhara Wilayani Sikonge Mnadani akihamasisha Chanjo ya UVIKO-19.

“Ndugu zangu naomba niwaeleze Serikali hii makini inataka kila Mtanzania aweze kufaidi uchumi wa kati,tunaposema uchumi wa kati tumaanisaha kila mmoja ajumuike,Mhe.Raisi anataka uchumi jumuishi asiachwe mtu nyuma, awe ni mfugaji, awe mama ntiliye, awe anaejihusisha na kilimo…kila mmoja katika shughuli anayoifanya tuhakikishe tunawashika mkono na wanaweza kufaidika na uchumi wa kati” Balozi Batilda alifafanua zaidi.

Aidha,Balozi Batilda ameitaja miradi mbalimbali ambayo Serikali ya awamu ya Sita imetekeleza na inaendelea kutekeleza kwa wananchi akisema Takribanui Bilioni 8 zimetolewa kwa ajili ya ujenzi wa barabara vijijini katika Mkoa wa Tabora mwaka (2020), huku bilioni 26 kwa mwaka huu 2021 zikitolewa kwa ajili ya ujenzi wa barabara zikiwemo barabara za Sikonge na kuongeza kuwa mradi wa maji kutoka ziwa Viktoria unaendelea kutekelezwa ili wananchi wa Sikonge na maeneo mengine wapate maji safi na salama.

Sambamba na hilo Dkt.Batilda amesema Serikali imejielekeza kujenga vituo vya afya vya kisasa ambavyo vitatoa huduma za afya kwa wananchi na kuongeza kuwa Mkoa wa Tabora umepokea Tsh.Bilioni 1.5 ikiwa ni sehemu ya tozo za miamala ambazo zimeelekezwa kujenga(kukamilisha) ujenzi wa vituo vya afya.

“Tarafa zetu zote zitakuwa na vituo vya Afya, na vituo vya afya kipindi hiki sio vile vya zamani..leo kituo cha afya ni sawa na umepata hospitali, kina eneo la wagonjwa wa nje ,kina wagonjwa wanaolazwa, kina wodi ya akina baba,mama na Watoto vilevile kina kitengo cha upasuaji mkubwa na upasuaji mdogo.” Dkt.Batilda amefafanua.

Na.Anna Kapama.

Matangazo

  • TANGAZO LA FURSA ZA UWEKEZAJI HALMASHAURI YA WILAYA YA SIKONGE September 10, 2025
  • ZAABUNI YA KUMPATA MWEKEZAJI KATIKA KIWANDA CHA KATI CHA KUCHAKATA MAZAO YA NYUKI(MARUDIO) June 07, 2023
  • ZABUNI YA KUTOA HUDUMA YA USAFI KWENYE OFISI ZA HALMASHAURI June 07, 2023
  • ZABUNI YA KUTOA HUDUMA YA ULINZI June 07, 2023
  • Angalia zaidi

Habari Mpya

  • PIKIPIKI 10 ZENYE THAMANI YA ZAIDI YA SHILINGI MILIONI 35 ZAKABIDHIWA KWA WATENDAJI WA VIJIJI

    September 03, 2025
  • NG’OMBE ELFU HAMSINI WACHANJWA CHANJO YA HOMA YA MAPAFU KWA BEI YA RUZUKU YA SH.500 HUKU KUKU ZAIDI YA LAKI NNE WAKICHANJWA BURE CHANJO YA KIDERI,NDUI NA MAFUA YA KUKU.

    August 29, 2025
  • USALAMA WA RAIA NA MALI ZAKE NI JUKUMU LETU SOTE WANANYAHUA

    August 26, 2025
  • WANAFUNZI 54 WAHITIMU MAFUNZO YA JESHI LA AKIBA ( MGAMBO) WILAYANI SIKONGE

    August 25, 2025
  • Angalia zaidi

Video

Ziara ya Waheshimiwa Madiwani Wilayani Rungwe - Mbeya.
Video zaidi

Kurasa za haraka

  • Matangazo
  • Zabuni
  • Matukio
  • Habari

Tovuti Mashuhuri

  • Ofisi ya Taifa ya Takwimu
  • Mkoa wa Tabora
  • TAMISEMI
  • Urambo DC
  • UTUMISHI
  • Kaliua DC

Watembeleaji wa Kimataifa

world map hits counter

Waliotembelea

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Mkurugenzi Mtendaji Sikonge DC

    Anuani ya Posta: S.L.P 70 Sikonge, Tabora

    Simu: 0767135460

    Simu: 0767135460

    Barua pepe: ded@sikongedc.go.tz

Mawasiliano zaidi

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani ya tovuti
    • Huduma zetu

Hatimiliki ©2017Halmashauri ya Wilaya ya Sikonge, Haki zote zimehifadhiwa