• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za wafanyakazi |
Sikonge District Council
Sikonge District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Sikonge

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
      • Chimbuko/Asili
      • Ukubwa wa Eneo
      • Idadi ya Watu
      • Hali ya Hewa
      • Shughuli za kiuchumi
      • Orodha ya Viongozi
    • Dhamira na Dira
    • Mikakati
    • Maadili ya Msingi
  • Utawala
    • Muundo wa Tasisi
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali watu
      • Mipango,Takwimu na Ufuatiliaji
      • Elimu ya msingi
      • Elimu ya sekondari
      • Mifugo na uvuvi
      • Afya na Ustawi wa jamii
      • Maji
      • Ujenzi
      • Ardhi na Maliasili
      • Maendeleo ya Jamii
      • Fedha na Biashara
      • Mazingira na Taka ngumu
      • Kilimo, Umwagilaji na Ushirika
    • Vitengo
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Ukaguzi wa ndani
      • Manunuzi na Ugavi
      • Uchaguzi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Uchimbaji wa Madini
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma zetu
    • Elimu
    • Afya
    • Maji
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Fedha, Uongozi na Mipango
      • Elimu, Afya na Maji
      • Uchumi, Ujenzi na Mazingira
      • Kudhibiti UKIMWI
      • Maadili
    • Ratiba
      • Vikao vya Kisheria vya Halmashauri
      • Kuonana na Mwenyekiti wa Halmashauri
  • Miradi
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi Itakayotekelezwa
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo Ndogo
    • Miongozo Mbalimbali
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu Mbalimbali
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
  • Kituo cha Habari
    • Maktaba ya sanaa
      • Sanaa za picha
    • Taarifa kwa umma
    • Hotuba
    • Habari mpya
    • Matukio

PIKIPIKI 20 ZAGAWIWA KWA WATENDAJI WA KATA.

Imewekwa: January 3rd, 2023

Sikonge _Tabora


Na.Anna_Kapama


Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Sikonge Mhe.Rashid Magope amekabidhi pikipiki 20 Kwa watendaji wa kata za Halmashauri hiyo Kwa Mkopo ambapo watakuwa wanarejesha fedha Kwa awamu.


Awali akizungumza na watendaji hao Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Sikonge Nico Kayange amewaasa kuzitumia pikipiki hizo Kwa ajili ya kurahisisha utendaji Kazi wa watendaji akiwaonya kutokukiuka madhumuni ya pikipiki hizo.


"Tunatarajia kuona pikipiki zinafanya kazi katika kuwarahisishia utekelezaji wa  majukumu yenu Kwa wakati katika maeneo yenu"Nico Kayange.


Kwa upande wake Kaimu katibu Tawala wa Wilaya ya Sikonge Faraja Hebel ameipongeza Ofisi ya Mkurugenzi Kwa kuona umuhimu wa kurahisisha utendaji Kazi watumishi hao na kutoa Rai Kwa watendaji akisema


"Hatutegemei kuona pikipiki zinakuwa bodaboda mtaani zikafanye kazi kama zilivyokusudiwa" Hebel


Jumla ya Pikipiki 20 zenye thamani ya Tsh.Milioni 58 zilizobaki wakati wa  ununuzi wa gari la Mkurugenzi zimekabidhiwa Kwa watendaji wa kata zote za Halmashauri ya Wilaya ya Sikonge ambapo watendaji hao wameishukuru Serikali Kwa kuendelea kuboresha maslahi ya watumishi.


#kaziiendelee

#2023

Matangazo

  • TANGAZO LA KAZI YA MKATABA November 15, 2022
  • Necta Selection Sikonge DC December 15, 2022
  • TANGAZO LA KUUZA VIWANJA KATIKA ENEO LA VIWANDA February 28, 2022
  • TANGAZO LA NAFASI YA UWAKILISHI WA JUMUIYA YA HIFADHI WANYAMA PORI IPOLE March 03, 2022
  • Angalia zaidi

Habari Mpya

  • KAMATI YA SIASA WILAYA YA SIKONGE KAZINI UKAGUZI WA MIRADI

    January 20, 2023
  • MITAMBO YA KURUSHA MATANGAZO YA TBC KUIMARISHWA NDANI YA SIKU 7 SIKONGE.

    January 10, 2023
  • HERI YA MUHULA MPYA WA MASOMO 2023

    January 09, 2023
  • PIKIPIKI 20 ZAGAWIWA KWA WATENDAJI WA KATA.

    January 03, 2023
  • Angalia zaidi

Video

MAKAMU WA RAIS MHE. SAMIA SULUHU HASSAN
Video zaidi

Kurasa za haraka

  • Zabuni
  • Matukio
  • Matangazo
  • Habari

Tovuti Mashuhuri

  • Ofisi ya Taifa ya Takwimu
  • Mkoa wa Tabora
  • TAMISEMI
  • Urambo DC
  • UTUMISHI
  • Kaliua DC

Watembeleaji wa Kimataifa

world map hits counter

Waliotembelea

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Mkurugenzi Mtendaji Sikonge DC

    Anuani ya Posta: S.L.P 70 Sikonge, Tabora

    Simu: +255262965732

    Simu: +255262965732

    Barua pepe: ded@sikongedc.go.tz

Mawasiliano zaidi

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani ya tovuti
    • Huduma zetu

Hatimiliki ©2017Halmashauri ya Wilaya ya Sikonge, Haki zote zimehifadhiwa