Kiongozi wa Mbio za Mwenge wa Uhuru 2022 Ndg.Sahili Nyanzabara Geraruma akiweka jiwe la Msingi katika mradi wa Ujenzi wa Kipande Cha Barabara ya Makao Makuu ya Wilaya yenye urefu Mita 400 iliyogharimubTsh.M.185
Barabara hiyo inayojengwa kwa kiwango cha Lami imesimamiwa na Meneja wa TARURA Wilaya ya Sikonge Mhandisi Eligdius Method.
"Sensa ni Msingi wa Mipango ya Maendeleo Shiriki kuhesabiwa tuyafikie Maendeleo ya Taifa"
#jiandaekuhesabiwaagosti23
#kaziiendelee
Mkurugenzi Mtendaji Sikonge DC
Anuani ya Posta: S.L.P 70 Sikonge, Tabora
Simu: 0767135460
Simu: 0767135460
Barua pepe: ded@sikongedc.go.tz
Hatimiliki ©2017Halmashauri ya Wilaya ya Sikonge, Haki zote zimehifadhiwa