MTEMI WA UNYANYEMBE AMEHAMASISHA CHANJO YA UVIKO-19 WILAYA YA SIKONGE.
.Mtemi wa Unyanyembe Mkoani Tabora Msagata Fundikira amewahamasisha wananchi katika kijiji cha Ibaya Kata ya Mpombwe alipohudhuria mkutano wa wananchi ulioitishwa na Mkuu wa Wilaya ya Sikonge Mhe.John Palingo ikiwa ni sehemu ya ziara yake ya kuongea na wananchi. Mtemi Fundikira ni miongoni mwa watemi waliompa jina la " CHIFU HANGAYA" Mhe.Samia Suluhu Hassan,Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania mwezi Septemba 2021 alipohudhuria Tamasha la Utamaduni Magu-Mwanza.#ujanja ni Kuchanja.
https://web.facebook.com/100024087722562/videos/pcb.1040034396809475/4373633472718420
Na.Anna Kapama.
Mkurugenzi Mtendaji Sikonge DC
Anuani ya Posta: S.L.P 70 Sikonge, Tabora
Simu: 0767135460
Simu: 0767135460
Barua pepe: ded@sikongedc.go.tz
Hatimiliki ©2017Halmashauri ya Wilaya ya Sikonge, Haki zote zimehifadhiwa