• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za wafanyakazi |
Sikonge District Council
Sikonge District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Sikonge

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
      • Chimbuko/Asili
      • Ukubwa wa Eneo
      • Idadi ya Watu
      • Hali ya Hewa
      • Shughuli za kiuchumi
      • Orodha ya Viongozi
    • Dhamira na Dira
    • Mikakati
    • Maadili ya Msingi
  • Utawala
    • Muundo wa Tasisi
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali watu
      • Mipango,Takwimu na Ufuatiliaji
      • Elimu ya msingi
      • Elimu ya sekondari
      • Mifugo na uvuvi
      • Afya na Ustawi wa jamii
      • Maji
      • Ujenzi
      • Ardhi na Maliasili
      • Maendeleo ya Jamii
      • Fedha na Biashara
      • Mazingira na Taka ngumu
      • Kilimo, Umwagilaji na Ushirika
    • Vitengo
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Ukaguzi wa ndani
      • Manunuzi na Ugavi
      • Uchaguzi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Uchimbaji wa Madini
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma zetu
    • Elimu
    • Afya
    • Maji
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Fedha, Uongozi na Mipango
      • Elimu, Afya na Maji
      • Uchumi, Ujenzi na Mazingira
      • Kudhibiti UKIMWI
      • Maadili
    • Ratiba
      • Vikao vya Kisheria vya Halmashauri
      • Kuonana na Mwenyekiti wa Halmashauri
  • Miradi
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi Itakayotekelezwa
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo Ndogo
    • Miongozo Mbalimbali
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu Mbalimbali
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
  • Kituo cha Habari
    • Maktaba ya sanaa
      • Sanaa za picha
    • Taarifa kwa umma
    • Hotuba
    • Habari mpya
    • Matukio

MKUU WA WILAYA YA SIKONGE MHE.CORNEL LUCAS MAGEMBE AMALIZA UTATA JUU YA ENEO LA MRADI WA UMWAGILIAJI UNAOTARAJIWA KUTEKELEZWA KATIKATI YA KATA ZA KITUNDA NA KILOLI

Imewekwa: January 29th, 2025

Na, Edigar Nkilabo

Mkuu wa wilaya ya Sikonge Mhe.Cornel Lucas Magembe amewataka baadhi ya wakazi wa Kata za Kitunda na Kiloli kutoa ushirikiano kwa wataalamu wanaofanya tathimini ya maeneo ya ujenzi wa bwawa na miundombinu ya umwagiliaji na kuwa tayari kuupisha mradi huo ambao unatarajiwa kutekelezwa katika kata hizo na tume ya taifa ya umwagiliaji.

“Mradi huu utachochea shughuli mbalimbali za uzalishaji ikiwemo uvuvi,kilimo cha umwagiliaji chenye tija na kuwaongezea kipato hivyo nitoe rai kwenu nyote hasa wenye mashamba katika eneo la mradi lililopendekezwa na wataalamu maeneo hayo hayapaswi kuendelezwa kwa namna yeyote ile kwakuwa tayari wataalamu wameanza kufanya tathimini”.

Kwa upande wake Diwani wa kata hiyo Iddi Juma Malole amesema mikutano ya Kijiji ilifanyika na baadhi ya wananchi walihudhuria kwenye mkutano na kuelezwa juu ya mradi huo wa Kalupale ambao unatekelezwa Katikati ya kata za Kitunda na Kiloli.

“Baadhi yetu tulihudhuria mkutano Meneja wa Tume ya Umwagiliaji  mkoa wa Tabora alieleza vizuri sote tukamuelewa na kuukubali mradi kwa mikono miwili haya mengine yanayotokea hayana mashiko wananchi na mimi diwani wao tuko tayari kwa mradi”

Naye Katibu wa CCM kata ya Kiloli Kedmon Chikoti amempongeza Mkuu wa wilaya ya Sikonge  kwa kusimamia vyema utekelezaji wa ilani ya Chama Cha Mapinduzi katika miradi mbalimbali ikiwemo ujenzi na ukarabati wa miundombinu ya Barabara pamoja na kusikiliza kero za wananchi na kuzifanyia kazi kwa wakati.

Katika ziara hiyo sambamba na kuzungumza na wananchi, Mkuu wa wilaya Mhe.Magembe amefanya mkutano na walimu wa shule za Msingi na Sekondari wa kata za Kitunda na Kiloli wakijadili mbinu na mikakati ya kuongeza ufaulu katika kata hizo.

Matangazo

  • TANGAZO LA ZABUNI YA KUKODISHA CANTEEN [MGAHAWA] MPYA KWENYE JENGO LA MAKAO MAKUU YA HALMASHAURI June 07, 2023
  • ZAABUNI YA KUMPATA MWEKEZAJI KATIKA KIWANDA CHA KATI CHA KUCHAKATA MAZAO YA NYUKI(MARUDIO) June 07, 2023
  • ZABUNI YA KUTOA HUDUMA YA USAFI KWENYE OFISI ZA HALMASHAURI June 07, 2023
  • ZABUNI YA KUTOA HUDUMA YA ULINZI June 07, 2023
  • Angalia zaidi

Habari Mpya

  • MJUMBE WA TUME HURU YA TAIFA YA UCHAGUZI ATEMBELEA VITUO VYA UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA WILAYANI SIKONGE

    May 07, 2025
  • KIKAO CHA TATHIMINI YA MKATABA WA LISHE WILAYANI SIKONGE

    April 29, 2025
  • WATENDAJI WA INEC WILAYANI SIKONGE WAMEKULA KIAPO CHA UADILIFU, KUJIWEKA KANDO NA VYAMA VYA SIASA.

    April 29, 2025
  • HALMASHAURI YA WILAYA YA SIKONGE YAADHIMISHA MIAKA 61 YA MUUNGANO KWA KUFANYA USAFI

    April 26, 2025
  • Angalia zaidi

Video

Ziara ya Waheshimiwa Madiwani Wilayani Rungwe - Mbeya.
Video zaidi

Kurasa za haraka

  • Zabuni
  • Matukio
  • Matangazo
  • Habari

Tovuti Mashuhuri

  • Ofisi ya Taifa ya Takwimu
  • Mkoa wa Tabora
  • TAMISEMI
  • Urambo DC
  • UTUMISHI
  • Kaliua DC

Watembeleaji wa Kimataifa

world map hits counter

Waliotembelea

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Mkurugenzi Mtendaji Sikonge DC

    Anuani ya Posta: S.L.P 70 Sikonge, Tabora

    Simu: 0767135460

    Simu: 0767135460

    Barua pepe: ded@sikongedc.go.tz

Mawasiliano zaidi

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani ya tovuti
    • Huduma zetu

Hatimiliki ©2017Halmashauri ya Wilaya ya Sikonge, Haki zote zimehifadhiwa