• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za wafanyakazi |
Sikonge District Council
Sikonge District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Sikonge

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
      • Chimbuko/Asili
      • Ukubwa wa Eneo
      • Idadi ya Watu
      • Hali ya Hewa
      • Shughuli za kiuchumi
      • Orodha ya Viongozi
    • Dhamira na Dira
    • Mikakati
    • Maadili ya Msingi
  • Utawala
    • Muundo wa Tasisi
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali watu
      • Mipango,Takwimu na Ufuatiliaji
      • Elimu ya msingi
      • Elimu ya sekondari
      • Mifugo na uvuvi
      • Afya na Ustawi wa jamii
      • Maji
      • Ujenzi
      • Ardhi na Maliasili
      • Maendeleo ya Jamii
      • Fedha na Biashara
      • Mazingira na Taka ngumu
      • Kilimo, Umwagilaji na Ushirika
    • Vitengo
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Ukaguzi wa ndani
      • Manunuzi na Ugavi
      • Uchaguzi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Uchimbaji wa Madini
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma zetu
    • Elimu
    • Afya
    • Maji
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Fedha, Uongozi na Mipango
      • Elimu, Afya na Maji
      • Uchumi, Ujenzi na Mazingira
      • Kudhibiti UKIMWI
      • Maadili
    • Ratiba
      • Vikao vya Kisheria vya Halmashauri
      • Kuonana na Mwenyekiti wa Halmashauri
  • Miradi
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi Itakayotekelezwa
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo Ndogo
    • Miongozo Mbalimbali
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu Mbalimbali
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
  • Kituo cha Habari
    • Maktaba ya sanaa
      • Sanaa za picha
    • Taarifa kwa umma
    • Hotuba
    • Habari mpya
    • Matukio

MKURUGENZI AMSIMAMISHA KAZI KATIBU WA KAMATI YA UJENZI.

Imewekwa: December 17th, 2021


MKURUGENZI AMSIMAMISHA KAZI KATIBU WA KAMATI YA UJENZI.

Mkurugenzi Mtendaji Halmashauri ya Wilaya ya Sikonge Ndg.Selemani Pandawe amemsimamisha kazi ya kuwa Katibu wa Kamati ya ujenzi Mwalimu Hamidu Zuberi ambae pia ni Mkuu wa Shule ya Sekondari Kipili baada ya kutoridhishwa na utendaji wake katika mradi wa ujenzi wa vyumba vya madarasa katika Shule hiyo.

Hayo yamejiri baada ya Kamati ya Siasa Wilaya ya Sikonge kufanya ziara na kukagua vyumba vya 4 vya madarasa Shule ya Sekondari Kipili  ujenzi ambao umekutwa uko nyuma katika hatua ya kupaua.Nafasi hiyo ya Katibu imechukuliwa na aliyekuwa Katibu msaidizi Mwl.Henry Shayo.

DED Pandawe ametoa rai kwa wasimamizi wa Miradi hiyo kusimamia ipasavyo huku akiwataka kufanya kazi kwa bidii ili kufikia Desemba 31 iwe imekamilika.

Na.Anna Kapama.

Matangazo

  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI SIKONGE DC July 12, 2022
  • TANGAZO LA KUUZA VIWANJA KATIKA ENEO LA VIWANDA February 28, 2022
  • TANGAZO LA NAFASI YA UWAKILISHI WA JUMUIYA YA HIFADHI WANYAMA PORI IPOLE March 03, 2022
  • TANGAZO LA AJIRA HALMASHAURI YA WILAYA YA SIKONGE May 30, 2022
  • Angalia zaidi

Habari Mpya

  • KARIBU MWENGE WA UHURU WILAYA YA SIKONGE 3.8.2022

    August 02, 2022
  • HERI YA SIKU YA SABASABA

    July 07, 2022
  • KAMAGI SEKONDARI YANG'ARA MATOKEO YA KIDATO CHA SITA.

    July 05, 2022
  • TAARIFA KWA WAAJIRIWA WAPYA WALIOPANGIWA WILAYA YA SIKONGE

    July 03, 2022
  • Angalia zaidi

Video

MAKAMU WA RAIS MHE. SAMIA SULUHU HASSAN
Video zaidi

Kurasa za haraka

  • Zabuni
  • Matukio
  • Matangazo
  • Habari

Tovuti Mashuhuri

  • Ofisi ya Taifa ya Takwimu
  • Mkoa wa Tabora
  • TAMISEMI
  • Urambo DC
  • UTUMISHI
  • Kaliua DC

Watembeleaji wa Kimataifa

world map hits counter

Waliotembelea

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Mkurugenzi Mtendaji Sikonge DC

    Anuani ya Posta: S.L.P 70 Sikonge, Tabora

    Simu: +255262965732

    Simu: +255262965732

    Barua pepe: ded@sikongedc.go.tz

Mawasiliano zaidi

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani ya tovuti
    • Huduma zetu

Hatimiliki ©2017Halmashauri ya Wilaya ya Sikonge, Haki zote zimehifadhiwa