Mbunge jimbo la Sikonge Mhe.Joseph Kakunda akizungumza na wananchi wa kijiji cha Makazi Wilayani Sikonge, katika ziara ya wajumbe wa Sekretarieti ya CCM Taifa.
Mhe.Kakunda ameishukuru Serikali ya awamu ya sita inayoongozwa na Rais Samia Suluhu Hassan kwa kutoa fedha za maendeleo katika sekta ya Afya,Elimu, maji pamoja miundombinu ya barabara, miradi ambayo inatekelezwa kwa kasi Wilayani Sikonge.
Mkurugenzi Mtendaji Sikonge DC
Anuani ya Posta: S.L.P 70 Sikonge, Tabora
Simu: 0767135460
Simu: 0767135460
Barua pepe: ded@sikongedc.go.tz
Hatimiliki ©2017Halmashauri ya Wilaya ya Sikonge, Haki zote zimehifadhiwa