• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za wafanyakazi |
Sikonge District Council
Sikonge District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Sikonge

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
      • Chimbuko/Asili
      • Ukubwa wa Eneo
      • Idadi ya Watu
      • Hali ya Hewa
      • Shughuli za kiuchumi
      • Orodha ya Viongozi
    • Dhamira na Dira
    • Mikakati
    • Maadili ya Msingi
  • Utawala
    • Muundo wa Tasisi
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali watu
      • Mipango,Takwimu na Ufuatiliaji
      • Elimu ya msingi
      • Elimu ya sekondari
      • Mifugo na uvuvi
      • Afya na Ustawi wa jamii
      • Maji
      • Ujenzi
      • Ardhi na Maliasili
      • Maendeleo ya Jamii
      • Fedha na Biashara
      • Mazingira na Taka ngumu
      • Kilimo, Umwagilaji na Ushirika
    • Vitengo
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Ukaguzi wa ndani
      • Manunuzi na Ugavi
      • Uchaguzi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Uchimbaji wa Madini
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma zetu
    • Elimu
    • Afya
    • Maji
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Fedha, Uongozi na Mipango
      • Elimu, Afya na Maji
      • Uchumi, Ujenzi na Mazingira
      • Kudhibiti UKIMWI
      • Maadili
    • Ratiba
      • Vikao vya Kisheria vya Halmashauri
      • Kuonana na Mwenyekiti wa Halmashauri
  • Miradi
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi Itakayotekelezwa
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo Ndogo
    • Miongozo Mbalimbali
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu Mbalimbali
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
  • Kituo cha Habari
    • Maktaba ya sanaa
      • Sanaa za picha
    • Taarifa kwa umma
    • Hotuba
    • Habari mpya
    • Matukio

“KILA ANAYEKUJA SIKONGE KUOMBA KIBALI CHA KUVUNA MITI NI LAZIMA ATUTENGENEZEE MADAWATI KWANZA” MHE. CORNEL MAGEMBE.

Imewekwa: May 24th, 2024

Mkuu wa Wilaya ya Sikonge Mhe. Cornel Lucas Magembe ameongoza hafla fupi ya kukabidhi madawati mapya 56 kwa shule ya msingi Majengo yaliyotengenezwa kwa fedha toka mfuko wa jimbo.

Akisoma taarifa ya mradi huo wa utengenezaji wa madawati hayo 56 Bw.Aidan Frument,Mkuu wa divisheni ya Mipango na Uratibu amesema Halmashauri ya Wilaya ya Sikonge ina jumla ya shule za msingi 109 zenye wanafunzi 73,676 kati yao wavulana wakiwa ni 36,514 na wasichana 37,162 amabapo mahitaji ya madawati  ni 19,513 na yaliyopo ni 14,403 hivyokufanya kuwa na upungufu wa madawati 5,110.

Bwana Frument ameongeza kuwa kwa mwaka wa fedha 2024/2025 Halmashauri ya Wilaya ya Sikonge imetenga jumla ya shilingi milioni 60 kwa ajili ya kutengeneza madawati  833.

Akipokea taarifa hiyo Mhe. Magembe amempongeza mbunge wa jimbo la Sikonge Mhe. Joseph Kakunda kwa kuendelea kuwatumikia wananchi wa Sikonge kwa uadilifu mkubwa kwa kuhakikisha fedha za mfuko wa jimbo zinatumika ipasavyo kutatua kero mbalimbali jimboni kwani kwa mwaka wa fedha 2023/2024 zaidi ya shilingi milioni 102 zimetumika katika miradi mbalimbali ya maendeleo katika jimbo la Sikonge.

Mhe. Magembe ameendelea kusisitiza wananchi kuzingatia maagizo ya Serikali hususani suala zima la lishe shuleni,kwa kuhimiza wananchi kulipa kipaumbele suala la kuchangia chakula shuleni ili watoto waweze kupata afya na utulivu wakati wa masomo. “Watoto wakipata chakula shuleni;wataweza kubaki shuleni lakini watapata utulivu na kuchochea uelewa darasani” amesema Mhe. Magembe.

Hafla hiyo imehudhuriwa na Mhe. Rashid Magope ,Mwenyekiti wa Halmashauri  ya Wilaya ya Sikonge,Ndg. Seleman Pandawe,Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Sikonge,Bw. Maulid Ally,Katibu wa Mbunge wa Jimbo la Sikonge,Bi. Faraja Hebel kwa niaba ya Katibu Tawala wa Wilaya,Mhe. Peter Nzalalila,Diwani wa kata ya Sikonge pamoja na viongozi mbalimbali wa chama na Serikali.


Matangazo

  • TANGAZO LA ZABUNI YA KUKODISHA CANTEEN [MGAHAWA] MPYA KWENYE JENGO LA MAKAO MAKUU YA HALMASHAURI June 07, 2023
  • ZAABUNI YA KUMPATA MWEKEZAJI KATIKA KIWANDA CHA KATI CHA KUCHAKATA MAZAO YA NYUKI(MARUDIO) June 07, 2023
  • ZABUNI YA KUTOA HUDUMA YA USAFI KWENYE OFISI ZA HALMASHAURI June 07, 2023
  • ZABUNI YA KUTOA HUDUMA YA ULINZI June 07, 2023
  • Angalia zaidi

Habari Mpya

  • UZINDUZI WA SHULE YA MSINGI KININGA - KATA YA IPOLE

    May 09, 2025
  • MJUMBE WA TUME HURU YA TAIFA YA UCHAGUZI ATEMBELEA VITUO VYA UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA WILAYANI SIKONGE

    May 07, 2025
  • KIKAO CHA TATHIMINI YA MKATABA WA LISHE WILAYANI SIKONGE

    April 29, 2025
  • WATENDAJI WA INEC WILAYANI SIKONGE WAMEKULA KIAPO CHA UADILIFU, KUJIWEKA KANDO NA VYAMA VYA SIASA.

    April 29, 2025
  • Angalia zaidi

Video

Ziara ya Waheshimiwa Madiwani Wilayani Rungwe - Mbeya.
Video zaidi

Kurasa za haraka

  • Zabuni
  • Matukio
  • Matangazo
  • Habari

Tovuti Mashuhuri

  • Ofisi ya Taifa ya Takwimu
  • Mkoa wa Tabora
  • TAMISEMI
  • Urambo DC
  • UTUMISHI
  • Kaliua DC

Watembeleaji wa Kimataifa

world map hits counter

Waliotembelea

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Mkurugenzi Mtendaji Sikonge DC

    Anuani ya Posta: S.L.P 70 Sikonge, Tabora

    Simu: 0767135460

    Simu: 0767135460

    Barua pepe: ded@sikongedc.go.tz

Mawasiliano zaidi

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani ya tovuti
    • Huduma zetu

Hatimiliki ©2017Halmashauri ya Wilaya ya Sikonge, Haki zote zimehifadhiwa