Kamati ya Siasa Wilaya ya Sikonge ikikagua Vyumba Viwili vya Madarasa katika Shule ya Sekondari Msuva vyenye thamani ya Tsh.Milioni 40 ambayo vimekamilika Kwa Asimia 100.
Kamati hiyo imewapongeza wasimamizi Kwa kumaliza Kwa wakati na tayari Madarasa yanatumika na wanafunzi wa Kidato cha Kwanza.
Halmashauri ya Wilaya ya Sikonge ilipokea fedha kutoka Serikali kuu Tsh.Milioni 580 Kwa ajili ya Ujenzi wa Vyumba 29 vya Madarasa Kwa ajili ya Kitado cha Kwanza 2023.
#kaziiendelee
Mkurugenzi Mtendaji Sikonge DC
Anuani ya Posta: S.L.P 70 Sikonge, Tabora
Simu: 0767135460
Simu: 0767135460
Barua pepe: ded@sikongedc.go.tz
Hatimiliki ©2017Halmashauri ya Wilaya ya Sikonge, Haki zote zimehifadhiwa