• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za wafanyakazi |
Sikonge District Council
Sikonge District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Sikonge

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
      • Chimbuko/Asili
      • Ukubwa wa Eneo
      • Idadi ya Watu
      • Hali ya Hewa
      • Shughuli za kiuchumi
      • Orodha ya Viongozi
    • Dhamira na Dira
    • Mikakati
    • Maadili ya Msingi
  • Utawala
    • Muundo wa Tasisi
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali watu
      • Mipango,Takwimu na Ufuatiliaji
      • Elimu ya msingi
      • Elimu ya sekondari
      • Mifugo na uvuvi
      • Afya na Ustawi wa jamii
      • Maji
      • Ujenzi
      • Ardhi na Maliasili
      • Maendeleo ya Jamii
      • Fedha na Biashara
      • Mazingira na Taka ngumu
      • Kilimo, Umwagilaji na Ushirika
    • Vitengo
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Ukaguzi wa ndani
      • Manunuzi na Ugavi
      • Uchaguzi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Uchimbaji wa Madini
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma zetu
    • Elimu
    • Afya
    • Maji
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Fedha, Uongozi na Mipango
      • Elimu, Afya na Maji
      • Uchumi, Ujenzi na Mazingira
      • Kudhibiti UKIMWI
      • Maadili
    • Ratiba
      • Vikao vya Kisheria vya Halmashauri
      • Kuonana na Mwenyekiti wa Halmashauri
  • Miradi
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi Itakayotekelezwa
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo Ndogo
    • Miongozo Mbalimbali
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu Mbalimbali
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
  • Kituo cha Habari
    • Maktaba ya sanaa
      • Sanaa za picha
    • Taarifa kwa umma
    • Hotuba
    • Habari mpya
    • Matukio

KAMATI YA FEDHA,UONGOZI NA MIPANGO IMERIDHISHWA NA KASI YA UTEKELEZAJI WA MIRADI YA ELIMU NA AFYA

Imewekwa: January 30th, 2025

Kamati ya Fedha,Uongozi na Mipango ya Halmashauri ya wilaya ya Sikonge imeipongeza menejimenti kwa usimamizi wa miradi ya elimu na afya ambayo inatekelezwa katika maeneo mbalimbali kwa lengo la kusogeza huduma bora kwa wananchi wa wilaya ya Sikonge.

Hayo yameelezwa na Mwenyekiti wa Kamati hiyo Mhe.Rashid Magope wakati akihitimisha ziara ya siku mbili ya kukagua miradi mbalimbali ya maendeleo katika kata za Sikonge,Tutuo na Kitunda ambapo amesema kamati yake imeridhishwa na kasi ya ujenzi wa miradi ya elimu na afya.

“Tumejionea kazi nzuri ya mkurugenzi na menejimenti yake katika ujenzi wa mabweni 2 na matundu 10 ya vyoo katika shule ya sekondari Kiwele jambo linaloongeza hamasa ya kujisomea kwa wanafunzi huku wakiishi katika mazingira bora”Mhe.Magope.

Aidha Mhe.Magobe na kamati yake wamekitembelea kikundi cha ufugaji nyuki cha Kitunda Bee Product na kugawa mavazi ya kisasa ya kulinia asali pair 30 kwa niaba ya Mbunge wa Jimbo la Sikonge Mhe.Joseph Kakunda ambapo amesema kuwa mavazi hayo yatawasaidia vijana kufanyakazi kwa ufanisi na kisasa zaidi kwa lengo la kuongeza tija katika shughuli hiyo.

Naye Makamu Mwenyekiti wa kamati hiyo  Mhe.Gasper Lwambano ameipongeza halmashauri kwa kutoa shilingi milioni 20 kutoka katika chanzo cha mapato ya ndani kwa ajili ya kurekebisha miundombinu ya kupokea mashine ya X-ray katika jengo la mionzi.

“Mashine hii ya X-ray itawasaidia wananchi wetu ambao wanaenda mbali kupata huduma hii kwa fedha hizi za uboreshaji wa miundombinu ni ishara nzuri ya kuunga juhudi za serikali ya Rais DKT.SAMIA SULUHU HASSAN katika kusogeza huduma za afya kwa wananchi”Mhe.Lwambano.

Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Sikonge Ndg.Hashim Kazoka amesema kumekuwa na usimamizi wa karibu kutoka kwa wahandisi wa halmashauri katika miradi yote.

“Tunashukuru miradi yote inatekelezwa vizuri chini ya usimamizi wa wataalamu wetu ndiyo maana kamati imeridhishwa na maendeleo ya miradi” amesema Ndg.Hashim Kazoka.

Katika ziara hiyo ya siku mbili Kamati ya Fedha,Ungozi na Mipango imekagua miradi mbalimbali katika kata za Sikonge,Tutuo na Kitunda ikiwemo ujenzi wa madarasa mawili ya shule ya msingi Igalula pamoja na kiwanda cha kuchakata mazao ya asali ambacho tayari kimepata mwekezaji.

Matangazo

  • TANGAZO LA ZABUNI YA KUKODISHA CANTEEN [MGAHAWA] MPYA KWENYE JENGO LA MAKAO MAKUU YA HALMASHAURI June 07, 2023
  • ZAABUNI YA KUMPATA MWEKEZAJI KATIKA KIWANDA CHA KATI CHA KUCHAKATA MAZAO YA NYUKI(MARUDIO) June 07, 2023
  • ZABUNI YA KUTOA HUDUMA YA USAFI KWENYE OFISI ZA HALMASHAURI June 07, 2023
  • ZABUNI YA KUTOA HUDUMA YA ULINZI June 07, 2023
  • Angalia zaidi

Habari Mpya

  • MJUMBE WA TUME HURU YA TAIFA YA UCHAGUZI ATEMBELEA VITUO VYA UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA WILAYANI SIKONGE

    May 07, 2025
  • KIKAO CHA TATHIMINI YA MKATABA WA LISHE WILAYANI SIKONGE

    April 29, 2025
  • WATENDAJI WA INEC WILAYANI SIKONGE WAMEKULA KIAPO CHA UADILIFU, KUJIWEKA KANDO NA VYAMA VYA SIASA.

    April 29, 2025
  • HALMASHAURI YA WILAYA YA SIKONGE YAADHIMISHA MIAKA 61 YA MUUNGANO KWA KUFANYA USAFI

    April 26, 2025
  • Angalia zaidi

Video

Ziara ya Waheshimiwa Madiwani Wilayani Rungwe - Mbeya.
Video zaidi

Kurasa za haraka

  • Zabuni
  • Matukio
  • Matangazo
  • Habari

Tovuti Mashuhuri

  • Ofisi ya Taifa ya Takwimu
  • Mkoa wa Tabora
  • TAMISEMI
  • Urambo DC
  • UTUMISHI
  • Kaliua DC

Watembeleaji wa Kimataifa

world map hits counter

Waliotembelea

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Mkurugenzi Mtendaji Sikonge DC

    Anuani ya Posta: S.L.P 70 Sikonge, Tabora

    Simu: 0767135460

    Simu: 0767135460

    Barua pepe: ded@sikongedc.go.tz

Mawasiliano zaidi

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani ya tovuti
    • Huduma zetu

Hatimiliki ©2017Halmashauri ya Wilaya ya Sikonge, Haki zote zimehifadhiwa