• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za wafanyakazi |
Sikonge District Council
Sikonge District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Sikonge

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
      • Chimbuko/Asili
      • Ukubwa wa Eneo
      • Idadi ya Watu
      • Hali ya Hewa
      • Shughuli za kiuchumi
      • Orodha ya Viongozi
    • Dhamira na Dira
    • Mikakati
    • Maadili ya Msingi
  • Utawala
    • Muundo wa Tasisi
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali watu
      • Mipango,Takwimu na Ufuatiliaji
      • Elimu ya msingi
      • Elimu ya sekondari
      • Mifugo na uvuvi
      • Afya na Ustawi wa jamii
      • Maji
      • Ujenzi
      • Ardhi na Maliasili
      • Maendeleo ya Jamii
      • Fedha na Biashara
      • Mazingira na Taka ngumu
      • Kilimo, Umwagilaji na Ushirika
    • Vitengo
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Ukaguzi wa ndani
      • Manunuzi na Ugavi
      • Uchaguzi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Uchimbaji wa Madini
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma zetu
    • Elimu
    • Afya
    • Maji
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Fedha, Uongozi na Mipango
      • Elimu, Afya na Maji
      • Uchumi, Ujenzi na Mazingira
      • Kudhibiti UKIMWI
      • Maadili
    • Ratiba
      • Vikao vya Kisheria vya Halmashauri
      • Kuonana na Mwenyekiti wa Halmashauri
  • Miradi
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi Itakayotekelezwa
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo Ndogo
    • Miongozo Mbalimbali
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu Mbalimbali
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
  • Kituo cha Habari
    • Maktaba ya sanaa
      • Sanaa za picha
    • Taarifa kwa umma
    • Hotuba
    • Habari mpya
    • Matukio

KAMATI YA FEDHA YAPONGEZA UJENZI WA MAABARA SEKONDARI MSUVA, WAMEKUWA MFANO WA KUIGWA.

Imewekwa: October 25th, 2022

Na.Anna Kapama

Sikonge_Tabora


Kamati ya Fedha Uongozi na Mipango imeendelea na ukaguzi wa Miradi ya Maendeleo ambapo katika Shule ya Sekondari Msuva Kamati imekagua ukarabati wa Maabara ya Fizikia na iliyogharimu Tsh.Milioni 30 na kuwapongeza kwa ujenzi wenye Ubora pamoja na kubakiza fedha.


"niwapongeze wameweza kuheshimu fedha za Serikali baada ya matumizi na imebaki Milioni 2.3 , nawashauri waendelee na uadilifu huu katika miradi mingine" Mhe.Mayeka Mbussa, Diwani Kata ya Kilumbi


"Mimi niwapongeze kwa jinsi ambavyo wamejipanga, Ofisi ya Mkurugenzi anamaelekezo mazuri..mradi kama huu ukiona uko hivi ni juhudi ya Mkurugenzi na wataalamu..Maneno yangu ni kupongeza mradi ni mzuri" Mhe.Sada Sizya, Diwani Kata ya Igigwa


"Sio dhambi sana kupongeza  sehemu ukikuta  wamefanya vizuri, Msuva Sekondari wamejitahidi Kazi ni Nzuri, tumeona na Chenchi ipo.."Mhe.Gastor Lwambano, Diwani Kata ya Kiloleli


Shule ya Sekondari Msuva ilipokea Fedha kiasi Cha Shilingi Milioni 30 kutoka Serikali kuu  kwa ajili ya ukarabati wa Chumba Cha Maabara ya Fizikia hata hivyo wametumia  milioni 27.7 kukamilisha  na fedha ikiwa imebaki Tsh.Milionin 2.3


Ziara inaendelea....


#kaziiendelee

Matangazo

  • TANGAZO LA FURSA ZA UWEKEZAJI HALMASHAURI YA WILAYA YA SIKONGE September 10, 2025
  • ZAABUNI YA KUMPATA MWEKEZAJI KATIKA KIWANDA CHA KATI CHA KUCHAKATA MAZAO YA NYUKI(MARUDIO) June 07, 2023
  • ZABUNI YA KUTOA HUDUMA YA USAFI KWENYE OFISI ZA HALMASHAURI June 07, 2023
  • ZABUNI YA KUTOA HUDUMA YA ULINZI June 07, 2023
  • Angalia zaidi

Habari Mpya

  • MIRADI 20 YAKAGULIWA NA KAMATI YA WATAALAMU (CMT) ROBO YA KWANZA KWA MWAKA WA FEDHA WA 2025/2026

    October 12, 2025
  • HALMASHAURI YA WILAYA YA SIKONGE INAVYOIISHI KWA VITENDO KAULI YA “MTEJA NI MFALME” KWA KUTOA ELIMU NA HUDUMA BORA KWA WANANCHI

    October 07, 2025
  • WAGONJWA ZAIDI YA 400 WAMEPATIWA MATIBABU YA KIBINGWA WILAYANI SIKONGE

    October 03, 2025
  • MAMBO SHWARI KWA KIDATO CHA TANO NA SITA SHULE YA SEKONDARI SIKONGE

    September 22, 2025
  • Angalia zaidi

Video

Ziara ya Waheshimiwa Madiwani Wilayani Rungwe - Mbeya.
Video zaidi

Kurasa za haraka

  • Matangazo
  • Zabuni
  • Matukio
  • Habari

Tovuti Mashuhuri

  • Ofisi ya Taifa ya Takwimu
  • Mkoa wa Tabora
  • TAMISEMI
  • Urambo DC
  • UTUMISHI
  • Kaliua DC

Watembeleaji wa Kimataifa

world map hits counter

Waliotembelea

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Mkurugenzi Mtendaji Sikonge DC

    Anuani ya Posta: S.L.P 70 Sikonge, Tabora

    Simu: 0767135460

    Simu: 0767135460

    Barua pepe: ded@sikongedc.go.tz

Mawasiliano zaidi

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani ya tovuti
    • Huduma zetu

Hatimiliki ©2017Halmashauri ya Wilaya ya Sikonge, Haki zote zimehifadhiwa