Maadhimisho ya Miaka 62 ya Uhuru wa Tanzania bara yafanyika Wilayani Sikonge kwa kutanguliwa na shughuli mbalimbali za kijamii ikiwa ni pamoja na Usafi wa Mazingira katika Hospitali ya Wilaya ya Sikonge na Shule ya Sekondari Sikonge.
Mgeni rasmi katika kilele cha maadhimisho ya miaka 62 ya Uhuru ni Mkuu wa Wilaya ya Sikonge Mhe. Simon Chacha, kauli mbiu ya Miaka 62 ya Uhuru ni "Umoja na Mshikamano ndio chachu ya Maendeleo ya Taifa letu".
Wananchi walijitokeza kwa wingi katika maadhimisho ya miaka 62 ya Uhuru katika Ukumbi wa Halmashauri ya Wilaya ya Sikonge.
Mkurugenzi Mtendaji Sikonge DC
Anuani ya Posta: S.L.P 70 Sikonge, Tabora
Simu: 0767135460
Simu: 0767135460
Barua pepe: ded@sikongedc.go.tz
Hatimiliki ©2017Halmashauri ya Wilaya ya Sikonge, Haki zote zimehifadhiwa