• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za wafanyakazi |
Sikonge District Council
Sikonge District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Sikonge

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
      • Chimbuko/Asili
      • Ukubwa wa Eneo
      • Idadi ya Watu
      • Hali ya Hewa
      • Shughuli za kiuchumi
      • Orodha ya Viongozi
    • Dhamira na Dira
    • Mikakati
    • Maadili ya Msingi
  • Utawala
    • Muundo wa Tasisi
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali watu
      • Mipango,Takwimu na Ufuatiliaji
      • Elimu ya msingi
      • Elimu ya sekondari
      • Mifugo na uvuvi
      • Afya na Ustawi wa jamii
      • Maji
      • Ujenzi
      • Ardhi na Maliasili
      • Maendeleo ya Jamii
      • Fedha na Biashara
      • Mazingira na Taka ngumu
      • Kilimo, Umwagilaji na Ushirika
    • Vitengo
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Ukaguzi wa ndani
      • Manunuzi na Ugavi
      • Uchaguzi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Uchimbaji wa Madini
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma zetu
    • Elimu
    • Afya
    • Maji
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Fedha, Uongozi na Mipango
      • Elimu, Afya na Maji
      • Uchumi, Ujenzi na Mazingira
      • Kudhibiti UKIMWI
      • Maadili
    • Ratiba
      • Vikao vya Kisheria vya Halmashauri
      • Kuonana na Mwenyekiti wa Halmashauri
  • Miradi
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi Itakayotekelezwa
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo Ndogo
    • Miongozo Mbalimbali
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu Mbalimbali
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
  • Kituo cha Habari
    • Maktaba ya sanaa
      • Sanaa za picha
    • Taarifa kwa umma
    • Hotuba
    • Habari mpya
    • Matukio

HALMASHAURI YA WILAYA YA SIKONGE KUANZA KUTOA DAWAKINGA KWA WANAFUNZI WA AWALI NA MSINGI WENYE UMRI WA MIAKA 5 HADI 14

Imewekwa: January 22nd, 2026

Na, Edigar Nkilabo – SikongeDC

Halmashauri ya Wilaya ya Sikonge inatarajia kuanza zoezi la umezeshaji dawakinga kwa magonjwa yaliyokuwa hayapewi kipaumbele kwa Wanafunzi wa shule za Awali na Msingi wenye umri wa kuanzia miaka 5 hadi 14.

Hayo yamesemwa na Mratibu wa Magonjwa yaliyokuwa hayapewi kipaumbele Sikonge Dkt.Mathew Sipemba katika kikao cha kujadili mpango mkakati wa kukabiliana na magonjwa yaliyokuwa hayapewi kipaumbele.

“Magonjwa yasiyopewa kipaumbele ni mjumuiko wa magonjwa 21 tofautitofauti katika ukanda wa kitropikia Afrika,Asia na Amerika kusini, kwa Wilaya ya Sikonge mpango wa umezeshaji dawakinga kwa watoto ulianza mwaka 2016 na mwaka huu kuanzia tarehe 28 hadi 31 Januari, tutaanza zoezi hilo kwa Wanafunzi wote wa Awali na Msingi lengo ikiwa ni kudhibiti na kutibu magonjwa  hayo” alisema Dkt.Sipemba.

Aidha Dkt.Sipemba amewatoa wasiwasi wazazi, walezi na walimu na kuwahakikishia kuwa dawakinga hizo ni salama na zipo za kutosha ikiwemo dawa aina ya Albendazole vidonge 79,600 ambazo zimeagizwa kutoka Bohari ya Taifa ya Dawa (MSD).

Kwaupande wake Mwenyekiti wa Kikao hicho Ndg.Andrea Ng’hwani amewataka Wataalam kuandaa utaratibu mzuri wa kuwafikia Watoto wote wenye umri wa kuanzia miaka 5 hadi 14 ili wapate dawakinga hizo.

“Najua kuanzia mwaka 2024 zoezi hili la umezeshaji dawakinga lilianza kuratibiwa na Halmashauri kupitia fedha za vituo vya kutolea huduma za afya, ni imani yangu jambo hili litatekelezwa kwa ufanisi na weledi kwa kuzingatia ushauri tulioutoa”alisema Ng’hwani.

Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri, Seif Salum amewataka Wataalam kutoa mafunzo kwa Walimu na wamezeshaji dawa,kufanya uhamasishaji katika jamii pamoja na kusimamia uandaaji wa taarifa.

Kikao hicho kilichofanyika katika ukumbi wa mikutano wa hospitali ya Wilaya kimejumuisha Kamati ya Usalama ya Wilaya(KU), Wataalam wa Afya pamoja na Wakuu wa Vitengo na Divisheni kutoka Halmashauri kwa lengo la kujadili mpango mkakati wa utekelezaji wa zoezi hilo la umezeshaji dawakinga watoto wa umri wa miaka 5 hadi 14 Wilayani Sikonge

Matangazo

  • TANGAZO LA FURSA ZA UWEKEZAJI HALMASHAURI YA WILAYA YA SIKONGE September 10, 2025
  • ZAABUNI YA KUMPATA MWEKEZAJI KATIKA KIWANDA CHA KATI CHA KUCHAKATA MAZAO YA NYUKI(MARUDIO) June 07, 2023
  • ZABUNI YA KUTOA HUDUMA YA USAFI KWENYE OFISI ZA HALMASHAURI June 07, 2023
  • ZABUNI YA KUTOA HUDUMA YA ULINZI June 07, 2023
  • Angalia zaidi

Habari Mpya

  • WATOTO WA UMRI WA MIAKA 5 HADI 14 WILAYANI SIKONGE WAMEZESHWA DAWA KINGATIBA

    February 04, 2026
  • WALIMU WAJENGEWA UWEZO KUHUSU UTUNZAJI WA MAZINGIRA

    February 04, 2026
  • HALMASHAURI YA WILAYA YA SIKONGE YAKAMILISHA UJENZI WA KITUO CHA REDIO JAMII (SIKONGE FM) KWA SHILINGI 190,455,100/= ZINAZOTOKANA NA MAPATO YA NDANI Na, Edigar Nkilabo – SikongeDC Halmashauri ya Wilaya ya Sikonge imekamilisha mradi wa ujenzi wa Kituo cha

    January 29, 2026
  • KAMATI YA FEDHA, UONGOZI NA MIPANGO (FUM) HALMASHAURI YA WILAYA YA SIKONGE YAPONGEZA KASI NA UBORA WA UTEKELEZAJI WA MIRADI YA MAENDELEO

    January 28, 2026
  • Angalia zaidi

Video

Ziara ya Waheshimiwa Madiwani Wilayani Rungwe - Mbeya.
Video zaidi

Kurasa za haraka

  • Matangazo
  • Zabuni
  • Matukio
  • Habari

Tovuti Mashuhuri

  • Ofisi ya Taifa ya Takwimu
  • Mkoa wa Tabora
  • TAMISEMI
  • Urambo DC
  • UTUMISHI
  • Kaliua DC

Watembeleaji wa Kimataifa

world map hits counter

Waliotembelea

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Mkurugenzi Mtendaji Sikonge DC

    Anuani ya Posta: S.L.P 70 Sikonge, Tabora

    Simu: 0767135460

    Simu: 0767135460

    Barua pepe: ded@sikongedc.go.tz

Mawasiliano zaidi

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani ya tovuti
    • Huduma zetu

Hatimiliki ©2017Halmashauri ya Wilaya ya Sikonge, Haki zote zimehifadhiwa

  • situs toto
  • situs toto
  • situs toto
  • situs toto
  • yamitoto
  • situs toto
  • situs toto
  • situs toto
  • situs toto
  • situs toto
  • slot gacor
  • situs toto
  • axl777
  • slot gacor
  • situs toto
  • axl777
  • yamitoto
  • slot gacor
  • axl777
  • situs toto
  • dora77
  • slot gacor
  • situs toto
  • dora77
  • situs toto
  • axl777
  • axl777
  • slot gacor
  • axl777
  • dora77
  • axl777
  • dora77
  • dora77
  • slot gacor
  • axl777
  • situs toto
  • yamitoto
  • nabitoto
  • nabitoto
  • koi200
  • slot gacor
  • slot gacor
  • ufabet
  • ufabet
  • ufabet
  • koi200
  • axl777
  • situs toto
  • slot gacor
  • aero88
  • aero88
  • >
  • situs toto
  • situs toto
  • slot gacor
  • situs toto
  • yamitoto
  • kudetabet98
  • kudetabet98
  • yamitoto
  • dora77
  • koi200
  • aero88
  • yamitoto
  • axl777
  • dora77
  • dora77
  • aero88
  • aero88
  • dora77
  • dora77
  • slot gacor
  • axl777
  • axl777
  • yamitoto
  • axl777
  • axl777
  • axl777
  • axl777
  • axl777
  • axl777
  • yamitoto
  • axl777
  • aero88
  • dora77
  • yamitoto
  • dora77