• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za wafanyakazi |
Sikonge District Council
Sikonge District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Sikonge

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
      • Chimbuko/Asili
      • Ukubwa wa Eneo
      • Idadi ya Watu
      • Hali ya Hewa
      • Shughuli za kiuchumi
      • Orodha ya Viongozi
    • Dhamira na Dira
    • Mikakati
    • Maadili ya Msingi
  • Utawala
    • Muundo wa Tasisi
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali watu
      • Mipango,Takwimu na Ufuatiliaji
      • Elimu ya msingi
      • Elimu ya sekondari
      • Mifugo na uvuvi
      • Afya na Ustawi wa jamii
      • Maji
      • Ujenzi
      • Ardhi na Maliasili
      • Maendeleo ya Jamii
      • Fedha na Biashara
      • Mazingira na Taka ngumu
      • Kilimo, Umwagilaji na Ushirika
    • Vitengo
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Ukaguzi wa ndani
      • Manunuzi na Ugavi
      • Uchaguzi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Uchimbaji wa Madini
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma zetu
    • Elimu
    • Afya
    • Maji
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Fedha, Uongozi na Mipango
      • Elimu, Afya na Maji
      • Uchumi, Ujenzi na Mazingira
      • Kudhibiti UKIMWI
      • Maadili
    • Ratiba
      • Vikao vya Kisheria vya Halmashauri
      • Kuonana na Mwenyekiti wa Halmashauri
  • Miradi
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi Itakayotekelezwa
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo Ndogo
    • Miongozo Mbalimbali
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu Mbalimbali
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
  • Kituo cha Habari
    • Maktaba ya sanaa
      • Sanaa za picha
    • Taarifa kwa umma
    • Hotuba
    • Habari mpya
    • Matukio

. "FEDHA ZA MAENDELEO ZITUMIKE KAMA INAVYOTAKIWA" MJUMBE KAMATI KUU CCM TAIFA AFADHAL T.AFADHAL

Imewekwa: October 19th, 2021


"FEDHA ZA MAENDELEO ZITUMIKE KAMA INAVYOTAKIWA" MJUMBE KAMATI KUU CCM TAIFA AFADHAL T.AFADHAL

Mjumbe wa kamati kuu ya CCM Taifa Ndg.Afadhal T.Afadhal amewasisitiza viongozi wa Chama cha Mapinduzi na watendaji wa Halmashauri hiyo kusimamia fedha za miradi ya maendeleo ili zitumike ipasavyo kujenga na kuboresha miundombinu kwa ajili ya kutoa huduma kwa wananchi.

Ndg. Afadhal ameyasema hayo alipotembelea Wilaya ya Sikonge akikagua utekelezaji wa Ilani ya Chama Cha Mapinduzi kupitia miradi ya maendeleo na kuongeza kuwa  Serikali ya awamu ya Sita inayoongozwa  na Rais Samia Suluhu Hassan inawajali wananchi wake kwa kuwasogezea huduma bora za jamii,ikiwemo Afya,Elimu,barabara,maji na miradi mingine mingi ambayo wananchi wananufaika na wataendelea kunufaika nayo.

Akisoma taarifa ya ujenzi wa Hospitali ya Wilaya, kaimu Mganga Mkuu (W) Dkt.Songolo amesema Serikali imetoa Tsh Bilioni 2.2 kwa ajili ya ujenzi wa majengo 10 ya hospitali hiyo huku Halmashauri ikichangia zaidi ya Tsh.Milioni 100 huku akiongeza kuwa mpaka sasa ujenzi huo umekamilika kwa asilimia 95%.Aidha,Dkt.Songolo ameishukuru Serikali ya awamu ya Sita kwa kuwapatia fedha hizo na kuongeza kuwa ujenzi wa Hospitali hiyo utasaidia kupunguza idadi ya wagonjwa wanaopewa rufaa kwenda kutibiwa katika Hospitali ya Mkoa, Kupanua wigo wa utoaji huduma sambamba na kupunguza msongamano wa wagonjwa wa nje(OPD) na wagonjwa wanaolazwa katika hospitali teule ya Wilaya(CDH) pamoja na kituo cha Afya Mazinge.

Katika ziara hiyo Ndg.Afadhal ameambata na viongozi mbambali wa Chama Cha Mapinduzi katika ngazi ya Mkoa na Wilaya akiwemo mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Tabora,M/kiti wa CCM(W),Mhe.Mbunge jimbo la Sikonge,Waheshimiwa madiwani, Mkuu wa Wilaya, Mkurugenzi Mtendaji(W) na Wakuu wa Idara mbalimbali wa Halmashauri hiyo.

Na Anna Kapama.

Matangazo

  • TANGAZO LA ZABUNI YA KUKODISHA CANTEEN [MGAHAWA] MPYA KWENYE JENGO LA MAKAO MAKUU YA HALMASHAURI June 07, 2023
  • ZAABUNI YA KUMPATA MWEKEZAJI KATIKA KIWANDA CHA KATI CHA KUCHAKATA MAZAO YA NYUKI(MARUDIO) June 07, 2023
  • ZABUNI YA KUTOA HUDUMA YA USAFI KWENYE OFISI ZA HALMASHAURI June 07, 2023
  • ZABUNI YA KUTOA HUDUMA YA ULINZI June 07, 2023
  • Angalia zaidi

Habari Mpya

  • WATUMISHI WA UMMA WA HALMASHAURI YA WILAYA YA SIKONGE WAPIGWA MSASA JUU YA MATUMIZI YA MFUMO WA E-UTENDAJI (PEPMIS)

    June 25, 2025
  • HALMASHAURI YA WILAYA YA SIKONGE YAPATA HATI INAYORIDHISHA TAARIFA YA UKAGUZI YA MWAKA 2023/2024

    June 14, 2025
  • UBORESHAJI WA HUDUMA ZA AFYA WAPUNGUZA VIFO VYA MAMA NA MTOTO KUTOKA 74% HADI 43% WILAYANI SIKONGE

    June 13, 2025
  • VIJIJI 16 KATIKA HALMASHAURI YA WILAYA YA SIKONGE KUNUFAIKA NA PROGRAMU YA UANDAAJI WA MIPANGO YA MATUMIZI YA ARDHI

    June 06, 2025
  • Angalia zaidi

Video

Ziara ya Waheshimiwa Madiwani Wilayani Rungwe - Mbeya.
Video zaidi

Kurasa za haraka

  • Matangazo
  • Zabuni
  • Matukio
  • Habari

Tovuti Mashuhuri

  • Ofisi ya Taifa ya Takwimu
  • Mkoa wa Tabora
  • TAMISEMI
  • Urambo DC
  • UTUMISHI
  • Kaliua DC

Watembeleaji wa Kimataifa

world map hits counter

Waliotembelea

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Mkurugenzi Mtendaji Sikonge DC

    Anuani ya Posta: S.L.P 70 Sikonge, Tabora

    Simu: 0767135460

    Simu: 0767135460

    Barua pepe: ded@sikongedc.go.tz

Mawasiliano zaidi

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani ya tovuti
    • Huduma zetu

Hatimiliki ©2017Halmashauri ya Wilaya ya Sikonge, Haki zote zimehifadhiwa