• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za wafanyakazi |
Sikonge District Council
Sikonge District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Sikonge

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
      • Chimbuko/Asili
      • Ukubwa wa Eneo
      • Idadi ya Watu
      • Hali ya Hewa
      • Shughuli za kiuchumi
      • Orodha ya Viongozi
    • Dhamira na Dira
    • Mikakati
    • Maadili ya Msingi
  • Utawala
    • Muundo wa Tasisi
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali watu
      • Mipango,Takwimu na Ufuatiliaji
      • Elimu ya msingi
      • Elimu ya sekondari
      • Mifugo na uvuvi
      • Afya na Ustawi wa jamii
      • Maji
      • Ujenzi
      • Ardhi na Maliasili
      • Maendeleo ya Jamii
      • Fedha na Biashara
      • Mazingira na Taka ngumu
      • Kilimo, Umwagilaji na Ushirika
    • Vitengo
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Ukaguzi wa ndani
      • Manunuzi na Ugavi
      • Uchaguzi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Uchimbaji wa Madini
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma zetu
    • Elimu
    • Afya
    • Maji
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Fedha, Uongozi na Mipango
      • Elimu, Afya na Maji
      • Uchumi, Ujenzi na Mazingira
      • Kudhibiti UKIMWI
      • Maadili
    • Ratiba
      • Vikao vya Kisheria vya Halmashauri
      • Kuonana na Mwenyekiti wa Halmashauri
  • Miradi
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi Itakayotekelezwa
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo Ndogo
    • Miongozo Mbalimbali
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu Mbalimbali
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
  • Kituo cha Habari
    • Maktaba ya sanaa
      • Sanaa za picha
    • Taarifa kwa umma
    • Hotuba
    • Habari mpya
    • Matukio

ELIMU NA CHANJO VYATOLEWA KATIKA MAADHIMISHO YA SIKU YA UGONJWA WA KICHAA CHA MBWA DUNIANI

Imewekwa: September 27th, 2023

Elimu juu ya lishe, tiba pamoja na chanjo zimetolewa leo na wataalam toka Halmashauri ya wilaya ya Sikonge divisheni ya kilimo na mifugo. Ni katika zoezi la  maadhimisho ya  siku ya ugonjwa wa kichaa cha mbwa duniani,yanayofanyika katika viwanja vya Mnadani pamoja na viwanja vya Shule ya Msingi Sikonge.

Zoezi hili limeendeshwa vyema na Maafisa toka divisheni ya Kilimo na Mifugo ,Gelard Mwagalazi pamoja na Phildorine Linus  katika viwanja vya mnadani.Bw. Mwagalazi akizungumza na wateja waliofika kupata elimu na chanjo kwa ajili ya mbwa wao amesema ni vema wamiliki wa mbwa kuhakikisha kuwa wanawapatia mbwa wao chanjo ya kila mwaka kwa tarehe na mwezi husika ili kuwakinga mbwa wao dhidi ya ugonjwa hatari wa kichaa cha mbwa.

Kwa niaba ya Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Sikonge,Mkuu wa Divisheni ya Kilimo na Mifugo Ndugu Hashim Kazoka ameridhishwa na mwamko wa wananchi wa Sikonge kwa kuja kupata elimu na chanjo kwa ajili ya kuwakinga mbwa wao dhidi ya ugonjwa hatari wa kichaa cha mbwa.

Amesisitiza kuwa ni muhimu kwa wanao fuga mbwa kuzingatia lishe na tiba ikiwa ni pamoja na kuwapatia dawa za minyoo,kuwaosha na  kuwafungia ndani.Matarajio yake ni kumaliza dozi zote mia tatu(300) walizopatiwa ndani ya siku mbili za maadhimisho ya siku ya ugonjwa wa kichaa cha mbwa duniani.

Zoezi hili ni endelevu hata baada ya siku ya kesho tarehe 28/09/2023 ambayo ndio kilele cha siku ya ugonjwa wa kichaa cha mbwa duniani.

Maadhimisho haya ni ya 16 tangu kuanzishwa kwa siku ya ugonjwa wa kichaa cha mbwa duniani mwaka 2007 ili kuinua ufahamu  juu ya ugonjwa hatari wa kichaa cha mbwa duniani.Takwimu toka Kituo cha kudhibiti magonjwa duniani ,zinasema takribani watu elfu sitini hufariki kila mwaka kutokana na ugonjwa hatari wa kichaa cha mbwa kote  duniani.

Matangazo

  • TANGAZO LA ZABUNI YA KUKODISHA CANTEEN [MGAHAWA] MPYA KWENYE JENGO LA MAKAO MAKUU YA HALMASHAURI June 07, 2023
  • ZAABUNI YA KUMPATA MWEKEZAJI KATIKA KIWANDA CHA KATI CHA KUCHAKATA MAZAO YA NYUKI(MARUDIO) June 07, 2023
  • ZABUNI YA KUTOA HUDUMA YA USAFI KWENYE OFISI ZA HALMASHAURI June 07, 2023
  • ZABUNI YA KUTOA HUDUMA YA ULINZI June 07, 2023
  • Angalia zaidi

Habari Mpya

  • MJUMBE WA TUME HURU YA TAIFA YA UCHAGUZI ATEMBELEA VITUO VYA UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA WILAYANI SIKONGE

    May 07, 2025
  • KIKAO CHA TATHIMINI YA MKATABA WA LISHE WILAYANI SIKONGE

    April 29, 2025
  • WATENDAJI WA INEC WILAYANI SIKONGE WAMEKULA KIAPO CHA UADILIFU, KUJIWEKA KANDO NA VYAMA VYA SIASA.

    April 29, 2025
  • HALMASHAURI YA WILAYA YA SIKONGE YAADHIMISHA MIAKA 61 YA MUUNGANO KWA KUFANYA USAFI

    April 26, 2025
  • Angalia zaidi

Video

Ziara ya Waheshimiwa Madiwani Wilayani Rungwe - Mbeya.
Video zaidi

Kurasa za haraka

  • Zabuni
  • Matukio
  • Matangazo
  • Habari

Tovuti Mashuhuri

  • Ofisi ya Taifa ya Takwimu
  • Mkoa wa Tabora
  • TAMISEMI
  • Urambo DC
  • UTUMISHI
  • Kaliua DC

Watembeleaji wa Kimataifa

world map hits counter

Waliotembelea

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Mkurugenzi Mtendaji Sikonge DC

    Anuani ya Posta: S.L.P 70 Sikonge, Tabora

    Simu: 0767135460

    Simu: 0767135460

    Barua pepe: ded@sikongedc.go.tz

Mawasiliano zaidi

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani ya tovuti
    • Huduma zetu

Hatimiliki ©2017Halmashauri ya Wilaya ya Sikonge, Haki zote zimehifadhiwa