• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za wafanyakazi |
Sikonge District Council
Sikonge District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Sikonge

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
      • Chimbuko/Asili
      • Ukubwa wa Eneo
      • Idadi ya Watu
      • Hali ya Hewa
      • Shughuli za kiuchumi
      • Orodha ya Viongozi
    • Dhamira na Dira
    • Mikakati
    • Maadili ya Msingi
  • Utawala
    • Muundo wa Tasisi
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali watu
      • Mipango,Takwimu na Ufuatiliaji
      • Elimu ya msingi
      • Elimu ya sekondari
      • Mifugo na uvuvi
      • Afya na Ustawi wa jamii
      • Maji
      • Ujenzi
      • Ardhi na Maliasili
      • Maendeleo ya Jamii
      • Fedha na Biashara
      • Mazingira na Taka ngumu
      • Kilimo, Umwagilaji na Ushirika
    • Vitengo
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Ukaguzi wa ndani
      • Manunuzi na Ugavi
      • Uchaguzi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Uchimbaji wa Madini
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma zetu
    • Elimu
    • Afya
    • Maji
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Fedha, Uongozi na Mipango
      • Elimu, Afya na Maji
      • Uchumi, Ujenzi na Mazingira
      • Kudhibiti UKIMWI
      • Maadili
    • Ratiba
      • Vikao vya Kisheria vya Halmashauri
      • Kuonana na Mwenyekiti wa Halmashauri
  • Miradi
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi Itakayotekelezwa
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo Ndogo
    • Miongozo Mbalimbali
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu Mbalimbali
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
  • Kituo cha Habari
    • Maktaba ya sanaa
      • Sanaa za picha
    • Taarifa kwa umma
    • Hotuba
    • Habari mpya
    • Matukio

DC PALINGO AKAGUA MAENDELEO UJENZI WA VYUMBA VYA MADARASA -UVIKO19.

Imewekwa: December 10th, 2021


DC PALINGO AKAGUA MAENDELEO UJENZI WA VYUMBA VYA MADARASA  -UVIKO19.

Mkuu wa Wilaya ya Sikonge Mhe.John Palingo ametembelea na kukagua maendeleo ya ujenzi wa Vyumba vya madarasa katika shule za  sekondari Mibono,Langwa na Usunga.Halmashauri ya Wilaya ya Sikonge imepokea  Tsh.Bilioni 2.77 kupitia mpango wa maendeleo ya ustawi wa taifa na mapambano dhidi ya UVIKO-19 Kwa ajili ya kutekeleza miradi mipya, ambapo kati ya fedha hizo Tsh.Bilioni 1.18 zimeelekezwa kujenga vyumba vya madarasa kwa shule za Sekondari  kufikia Desemba 15 madarasa hayo yakamilike.

DC Palingo amewataka wasimamizi wa miradi hiyo kuzingatia maelekezo huku akiwaasa kuacha kuchelewesha ujenzi wa madarasa hayo kwa kuwa tayari serikali ya awamu ya sita imetoa fedha kwa ajili ya madarasa hayo.Kwa upande wao wakazi wa Wilaya ya Sikonge wameipongeza Serikali kwa kuleta fedha hizo kwani zitasaidia kumaliza tatizo la upungufu wa madarasa uliokuwepo hivyo kuongeza kiwango cha wanafunzi wengi kupata elimu bora katika miondombinu bora.

Na.Anna Kapama.

Matangazo

  • TANGAZO LA FURSA ZA UWEKEZAJI HALMASHAURI YA WILAYA YA SIKONGE September 10, 2025
  • ZAABUNI YA KUMPATA MWEKEZAJI KATIKA KIWANDA CHA KATI CHA KUCHAKATA MAZAO YA NYUKI(MARUDIO) June 07, 2023
  • ZABUNI YA KUTOA HUDUMA YA USAFI KWENYE OFISI ZA HALMASHAURI June 07, 2023
  • ZABUNI YA KUTOA HUDUMA YA ULINZI June 07, 2023
  • Angalia zaidi

Habari Mpya

  • KITENDAWILI CHA ULIPAJI TOZO ZA KUNI CHATEGULIWA BAADA YA KIKAO CHA MAJADILIANO

    October 18, 2025
  • MAAFISA MIFUGO WILAYANI SIKONGE WAASWA KUWAJIBIKA

    October 16, 2025
  • MIRADI 20 YAKAGULIWA NA KAMATI YA WATAALAMU (CMT) ROBO YA KWANZA KWA MWAKA WA FEDHA WA 2025/2026

    October 12, 2025
  • HALMASHAURI YA WILAYA YA SIKONGE INAVYOIISHI KWA VITENDO KAULI YA “MTEJA NI MFALME” KWA KUTOA ELIMU NA HUDUMA BORA KWA WANANCHI

    October 07, 2025
  • Angalia zaidi

Video

Ziara ya Waheshimiwa Madiwani Wilayani Rungwe - Mbeya.
Video zaidi

Kurasa za haraka

  • Matangazo
  • Zabuni
  • Matukio
  • Habari

Tovuti Mashuhuri

  • Ofisi ya Taifa ya Takwimu
  • Mkoa wa Tabora
  • TAMISEMI
  • Urambo DC
  • UTUMISHI
  • Kaliua DC

Watembeleaji wa Kimataifa

world map hits counter

Waliotembelea

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Mkurugenzi Mtendaji Sikonge DC

    Anuani ya Posta: S.L.P 70 Sikonge, Tabora

    Simu: 0767135460

    Simu: 0767135460

    Barua pepe: ded@sikongedc.go.tz

Mawasiliano zaidi

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani ya tovuti
    • Huduma zetu

Hatimiliki ©2017Halmashauri ya Wilaya ya Sikonge, Haki zote zimehifadhiwa