• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za wafanyakazi |
Sikonge District Council
Sikonge District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Sikonge

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
      • Chimbuko/Asili
      • Ukubwa wa Eneo
      • Idadi ya Watu
      • Hali ya Hewa
      • Shughuli za kiuchumi
      • Orodha ya Viongozi
    • Dhamira na Dira
    • Mikakati
    • Maadili ya Msingi
  • Utawala
    • Muundo wa Tasisi
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali watu
      • Mipango,Takwimu na Ufuatiliaji
      • Elimu ya msingi
      • Elimu ya sekondari
      • Mifugo na uvuvi
      • Afya na Ustawi wa jamii
      • Maji
      • Ujenzi
      • Ardhi na Maliasili
      • Maendeleo ya Jamii
      • Fedha na Biashara
      • Mazingira na Taka ngumu
      • Kilimo, Umwagilaji na Ushirika
    • Vitengo
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Ukaguzi wa ndani
      • Manunuzi na Ugavi
      • Uchaguzi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Uchimbaji wa Madini
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma zetu
    • Elimu
    • Afya
    • Maji
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Fedha, Uongozi na Mipango
      • Elimu, Afya na Maji
      • Uchumi, Ujenzi na Mazingira
      • Kudhibiti UKIMWI
      • Maadili
    • Ratiba
      • Vikao vya Kisheria vya Halmashauri
      • Kuonana na Mwenyekiti wa Halmashauri
  • Miradi
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi Itakayotekelezwa
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo Ndogo
    • Miongozo Mbalimbali
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu Mbalimbali
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
  • Kituo cha Habari
    • Maktaba ya sanaa
      • Sanaa za picha
    • Taarifa kwa umma
    • Hotuba
    • Habari mpya
    • Matukio

BARAZA LA DHARURA LA WAHESHIMIWA MADIWANI LABARIKI MPANGO WA URASIMISHAJI MISITU YA ASILI SIKONGE.

Imewekwa: November 10th, 2023

Akifungua baraza hilo Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Sikonge Mhe. Rashid Magope amesema tumbaku ni zao muhimu la kiuchumi lakini linachangamoto zake za uharibifu wa mazingira hivyo mpango wa urasimishaji misitu ya asili  ni muhimu sana kwani utaleta tija kwa mustakabali wa uchumi na mazingira.

Akiwasilisha mpango wa urasimishaji wa misitu ya asili toka Mkwawa Leaf Tobacco Ltd, Bw. Zacharia Joseph Mseswa amesema kumekuwa na nguvu kubwa katika kuteketeza uoto wa asili lakini sio kuokoa au kuhifadhi uoto huo.Ndio maana Kampuni ya Mkwawa imekuja na Mpango mkakati wa kuhifadhi mazingira ya misitu ya asili.

Aidha Waheshimiwa madiwani wakichangia mpango huu wameshauri uwepo uelewa wa mipaka halisi ya maeneo yatakayonufaika na mpango huu kwa kupitia tena majina ya mipaka husika ilikuondoa utata wa mwingiliano wa mipaka katika kata zao.

Akifunga kikao hicho Mhe. Magope amewashukuru sana Waheshimiwa madiwani kwa kubariki mpango huo pamoja na marekebisho yake.

Matangazo

  • TANGAZO LA ZABUNI YA KUKODISHA CANTEEN [MGAHAWA] MPYA KWENYE JENGO LA MAKAO MAKUU YA HALMASHAURI June 07, 2023
  • ZAABUNI YA KUMPATA MWEKEZAJI KATIKA KIWANDA CHA KATI CHA KUCHAKATA MAZAO YA NYUKI(MARUDIO) June 07, 2023
  • ZABUNI YA KUTOA HUDUMA YA USAFI KWENYE OFISI ZA HALMASHAURI June 07, 2023
  • ZABUNI YA KUTOA HUDUMA YA ULINZI June 07, 2023
  • Angalia zaidi

Habari Mpya

  • MHE.CHACHA AONGOZA KIKAO CHA BAJETI YA LISHE KWA MWAKA FEDHA 2024/2025 KATIKA UKUMBI WA HOSPITALI YA WILAYA YA SIKONGE.

    November 28, 2023
  • MHE. CHACHA AZINDUA ZOEZI LA USAMBAZAJI WA VYANDARUA KWENYE KAYA KATIKA VIWANJA VYA TASAF SIKONGE.

    November 18, 2023
  • SERIKALI YATENGA HEKTA 2500 ZA ARDHI KUGAWIA WANANCHI WANAOPISHA ENEO LA HIFADHI NYAHUA.

    November 17, 2023
  • RC. BALOZI DKT. BURIAN ATEMBELEA WILAYA YA SIKONGE KUSIKILIZA NA KUTATUA KERO ZA WAKULIMA WA TUMBAKU KATA YA KISANGA.

    November 16, 2023
  • Angalia zaidi

Video

MAKAMU WA RAIS MHE. SAMIA SULUHU HASSAN
Video zaidi

Kurasa za haraka

  • Zabuni
  • Matukio
  • Matangazo
  • Habari

Tovuti Mashuhuri

  • Ofisi ya Taifa ya Takwimu
  • Mkoa wa Tabora
  • TAMISEMI
  • Urambo DC
  • UTUMISHI
  • Kaliua DC

Watembeleaji wa Kimataifa

world map hits counter

Waliotembelea

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Mkurugenzi Mtendaji Sikonge DC

    Anuani ya Posta: S.L.P 70 Sikonge, Tabora

    Simu: 0767135460

    Simu: 0767135460

    Barua pepe: ded@sikongedc.go.tz

Mawasiliano zaidi

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani ya tovuti
    • Huduma zetu

Hatimiliki ©2017Halmashauri ya Wilaya ya Sikonge, Haki zote zimehifadhiwa