TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI
WAHUDUMU WA AFYA NGAZI YA JAMII (WAJA)
Shirika la CARE INTERNATIONAL TANZANIA, kupitia mradi wake wa TAMANI, linapenda kuwatangazia wakazi wote wa wilaya ya Sikonge wenye sifa za kuomba nafasi ya Wahudumu wa Afya Ngazi ya Jamii (WAJA). Mhudumu wa afya katika jamii ni mmoja kati ya wanajamii ambaye kazi yake ni kusaidia katika kuboresha afya ya jamii kwa kushirikiana na mfumo wa utoaji huduma za afya au wakala wa afya ya jamii na jamii wanazopatikana.
MUOMBAJI AWE NA SIFA ZIFUATAZO:
Shughuli nzima ya kuwapata WAJA itafanyika kupitia mkutano mkuu wa kijiji/Mtaa/kata kwa tarehe zitakazopangwa. Baada ya WAJA kupatikana watapatiwa mafunzo ya wiki tatu ili kuwawezesha kufanya majukumu yao kwa ufanisi.
Kumbuka: Wasichana wanahamasishwa zaidi kuomba nafasi hii
Barua zote za maombi ziambatanishwe na nakala ya cheti cha kidato cha nne. Maombi yote yatumwe kwenye ofisi ya serikali ya kijiji/mtaa husika.
Kwa mawasiliano zaidi piga namba zifuatazo:
0758 908449 Meneja Mradi wa TAMANI
Wilaya ya Sikonge.
Mwisho wa Maombi: 19/05/2019
Mkurugenzi Mtendaji Sikonge DC
Anuani ya Posta: S.L.P 70 Sikonge, Tabora
Simu: 0767135460
Simu: 0767135460
Barua pepe: ded@sikongedc.go.tz
Hatimiliki ©2017Halmashauri ya Wilaya ya Sikonge, Haki zote zimehifadhiwa