Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Sikonge anawataarifu wafuatao kuwa wamefaulu usaili katika nafasi walizoomba, hivyo wanatakiwa kuripoti Halmashauri ya Wilaya ya Sikonge kuanzia tarehe 4/11/2019 kwa ajili ya taratibu za ajira.
Kupata tangazo pakua kupitia link hii ---->MATOKEO YA USAILI.pdf
Mkurugenzi Mtendaji Sikonge DC
Anuani ya Posta: S.L.P 70 Sikonge, Tabora
Simu: 0767135460
Simu: 0767135460
Barua pepe: ded@sikongedc.go.tz
Hatimiliki ©2017Halmashauri ya Wilaya ya Sikonge, Haki zote zimehifadhiwa