Mradi wa Vijana (TULU) Wilayani Sikonge ulibuniwa ikiwa ni sehemu ya Mkakati wa Wilaya kuhakikisha kuwa asilimia tano ya fedha za mwaka 2011/2012 itokanayo na tozo ya Tumbaku inaelekezwa kuwanufaisha Vijana wa Wilaya ya Sikonge.
Mradi huu unaendeshwa na Halmashauri ya Wilaya, mradi huu una jumla ya vijana 60. Lengo la mradi huu ni kutoa stadi na maarifa kwa vijana ili waweze kujitegemea kwa kujiajiri au kuajiri wengine katika fani za:- Ufugaji, Kilimo, Uashi, Ushonaji wa nguo, viatu na ujasiriamali.
Malengo mengine ni pamoja na:-
Miradi inayotekelezwa hadi sasa
Mkurugenzi Mtendaji Sikonge DC
Anuani ya Posta: S.L.P 70 Sikonge, Tabora
Simu: 0767135460
Simu: 0767135460
Barua pepe: ded@sikongedc.go.tz
Hatimiliki ©2017Halmashauri ya Wilaya ya Sikonge, Haki zote zimehifadhiwa